VPL: Yanga vs Polisi Moro,mechi ya ubingwa na kushuka daraja

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,409
Matokeo

Yanga 4 - Polisi Moro 1

Kwa Matokeo Hayo Yanga Imefanikiwa Kutwaa Ubingwa Wa Ligi Ya Tanzania Bara

=========================================================

Ni mechi ya ubingwa kwa timu ya Yanga kwani ikishinda mechi hyo dhidi ya Polisi Moro, itakuwa ndo Bingwa wa Soka wa Tanzania Bara. Kila la heri Young African.

Kila la heri mods wote mnaopenda Yanga
 
...khaàaa haya tupe updates za sasa, basi.....mbio zote hizi ni za nini ubingwa kesho...
 
Ni mechi ya ubingwa kwa timu ya yanga kwani yanga ikishinda mechi hyo dhidi ya polisi moro, itakuwa ndo timu bingwa kwa timu zote hapa tanzania nzima kila la heri young african....kila la heri mods wote mnaopenda yanga

Vipi wanacheza usiku huu,au mimi naota?
 
...khaàaa haya tupe updates za sasa, basi.....mbio zote hizi ni za nini ubingwa kesho...

Mtibwa 0-1 Ruvu JKT,
Prisons 2-0 Mgambo Shooting,
Yanga ?-? Polisi Moro (27/04/2015 @1600 EAT).
 
yahoo mbona una mchecheto hivyo......
 
Last edited by a moderator:
Ni mechi ya ubingwa kwa timu ya yanga kwani yanga ikishinda mechi hyo dhidi ya polisi moro, itakuwa ndo timu bingwa kwa timu zote hapa tanzania nzima kila la heri young african....kila la heri mods wote mnaopenda yanga

yanga bingwa

Yanga ikifungwa walao bao moja bila (imefungwa) naalika kigodoro mtaani kwetu halafu wapige ule wimbo maarufu wa mamaa aminaaaaa. .....!!!
 
Kesho.....

Sasa isiposhinda itakuwaje? Unakumbuka Mnyama miaka ileee alienda Kagera akijua anashinda gemu kumbe mtoa hongo hakugawa kwa wachezaji wote, Kagera wakakomaa na akakosa ubingwa, halafu akina nanii wakazipiga kavu!!!!!!! Nakumbuka hata Songea walikutana na kitu kama hicho hicho.

Yanaweza kuwakuta Yanga kesho !!!!
 
Anahitaji pointi 3 ili atangaze ubingwa na ana mechi bado 2 nadhani. Kwa polisi moro kila mtu anaamini hawezi kumzuia yanga.
 
Anahitaji pointi 3 ili atangaze ubingwa na ana mechi bado 2 nadhani. Kwa polisi moro kila mtu anaamini hawezi kumzuia yanga.

Mi Yanga, mpira dakika tisini !!!!!! Kwa kuwa umeshajianda kisaikolojia kuwa sisi Yanga ndio habari ya mjini basi poa mkuu. Na mimi nakuombea walau upate nafasi inayofuata. Sasa sijui huyu dogo utamfanyaje, maana amekukalia vibaya.
 
Nimewahi sana kuepuka posti isianzishwe na mtu wa simba ,ingtokea hivyo ubingwa wetu ungekuwa na kasoro
 
Hii ni droo tu hakujipya hapo unless mpesa imefanya kazi..
 
Hii thread ni ya kabla siku ya mechi,tunaungana na yanga wanaochukua ubingwa kabla ligi haijaisha
 
Mi Yanga, mpira dakika tisini !!!!!! Kwa kuwa umeshajianda kisaikolojia kuwa sisi Yanga ndio habari ya mjini basi poa mkuu. Na mimi nakuombea walau upate nafasi inayofuata. Sasa sijui huyu dogo utamfanyaje, maana amekukalia vibaya.
Nafasi ya pili yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…