Msuva goli 16
Tambwe goli 14
Utafurah eeee yanga wakifungwa na Etoile?nyie chekeniiiiiiiii tu ETOILE DU SAHEL mnaenda kupigwa 5.
Msuva 17 tambwe 13
ngoja nitafute wastani...Msuva 17 tambwe 14 mpaka sasa
nyie chekeniiiiiiiii tu etoile du sahel mnaenda kupigwa 5.
Mmamieeee xenu yeboyebo
naomba idadi ya magali ya msuva na tambwe separately...
nyie chekeniiiiiiiii tu ETOILE DU SAHEL mnaenda kupigwa 5.
mapinduzi cuphata wakitufunga mia hao sahel. Sisi tuna la ligi kuu bara nyie mna lipi?
Mmeanza utabiri sasa
hii ya very fantastic yani very YANGASTIC
ngoja nitafute wastani...
Hahaha ckupatii picha hapo