VPL: Yanga vs Polisi Moro,mechi ya ubingwa na kushuka daraja

VPL: Yanga vs Polisi Moro,mechi ya ubingwa na kushuka daraja

Ukifuatilia mechi za Etoile du Sahel hawafungi goli zaidi ya 3, hivyo uhakika wa kufunga goli nyingi upo mkubwa sana
 
Yanga waleeeeee...

Tunazidi kuongeza idadi ya makombe ya maana...
 
Mfukuzaji bora wa makocha ni yanga.

kweli kocha km patrick phiri na logarusic wote tuliwafukuza yanga.na logarusic anatudai ml100 kesi yake ilikuwa jana.
 
Attachments

  • Yanga bingwa 2014-2015.jpg
    Yanga bingwa 2014-2015.jpg
    70.1 KB · Views: 300
Simba Sc Aka Mikia Oyeeeeeeeeeeeeeee!

Midomo Yao Imejaa Ndimu.Wapeni Sukari Watengeneze Juice!
 
Karibuni wote kwenye tafrija ya ubingwa wa Yanga humu humu jf
 
Tumewaachia mikia fc na lambalamba shida zao. Mnadhani pepe kale alivyoimba Yanga Africa alikuwa anabahatisha
 
Tumewaachia mikia fc na lambalamba shida zao. Mnadhani pepe kale alivyoimba Yanga Africa alikuwa anabahatisha
Afadhali hata hao lambalamba mwakani watakuwa tena ki-international kuliko hawa wamchangani a.k.a wahapa hapa....
 
mcubic au mcubic Sikuoni leo ukisherehekea ubingwa wa Yanga. Kijana wa Nucaso na Chelshee mikia maarufu wamenyamazishwa rasmi
 
Last edited by a moderator:
Afadhali hata hao lambalamba mwakani watakuwa tena ki-international kuliko hawa wamchangani a.k.a wahapa hapa....

Wamchangani Wanatia Huruma Sana.Hawataki Kuukubali Ukweli.Utazani Hawajui Huwezo Wao.
 
FT
4-1
⚽YOUNG AFRICANS⚽
Champion⏳⌛☀⭐
VPL 2014/2015
TUFUNGUE shampen woteeeee Kazi nzuri mchezo mzuri congratulations YANGA
 
Tambwe anafukuzia tena ufungaji bora
 
Back
Top Bottom