Mkuu vipi nafasi ya pili mkuu mnakomaa nayo au mnamwachia binamu yenu?
Mfukuzaji bora wa makocha ni yanga.
FULL TIME:
YANGA 4 - POLISI MOROGORO 1.
Yanga bingwa 2014/2015.
Mikia karibuni katika sherehe zetu za ubingwa, bila kumsahau Masao Bwire...
#teamyanga #
Afadhali hata hao lambalamba mwakani watakuwa tena ki-international kuliko hawa wamchangani a.k.a wahapa hapa....Tumewaachia mikia fc na lambalamba shida zao. Mnadhani pepe kale alivyoimba Yanga Africa alikuwa anabahatisha
Simba Sc Aka Mikia Oyeeeeeeeeeeeeeee!
Midomo Yao Imejaa Ndimu.Wapeni Sukari Watengeneze Juice!
Afadhali hata hao lambalamba mwakani watakuwa tena ki-international kuliko hawa wamchangani a.k.a wahapa hapa....
Acha bangi.