VPL: Yanga vs Polisi Moro,mechi ya ubingwa na kushuka daraja

Hongereni ndala. (ila msisahau tulivuna points 4 kutoka kwenu)
 
Wakuu kwa sasa niko busy kidogo kwani naandaa tafrija ya nguvu kabisa ila nawaalika mikia wote, karibun sana wapinzan wetu azam ninyi ndo mnaotupa changamoto wale wengine wamebaki na utani wa jadi tu.
 
Hongereni ndala. (ila msisahau tulivuna points 4 kutoka kwenu)
Zimekusaidiaje hizo point 4!!!
Kwanza kalale huko usituharibie furaha yetu, nendeni mkajichange ili mupate fedha ya kulipa deni la Tambwe.......
 
Msimu huu ni burudani tupu. YANGA BONGE LA BURUDANI, CHELSEA NDO USISEME KOMBE HILOOOOO!!!!!!
 
DAAH YANGA ME SIWAPEND HATA KDG ILA NDO IVO NTAFANYAJE UBINGWA HUOOO
CJUI WAPOJE SA IV UKISOGEZA KICHWA UNACHEZEA HATA 4
LOL😡😡
 
Yanga imekuwa bingwa kwa mwaka 2014/15 baada ya kuifunga bila huruma polisi morogoro goli 4 kwa 1.
 
Hongereni ndala. (ila msisahau tulivuna points 4 kutoka kwenu)

Angalau zimekusaidia usishuke DALAJA......!
😁😁😁😁😁😁👌👌👌👌
 
Hizo point nne zimekufikisha wapi? Zimekusaidia utashiriki kombe lipi la maana?

Pointi4 Mpaka Wakaweke Kambi Ya Kupiga Ramli Znz.Msimu Wa Tatu Mfululizo Wanaitafuta Angalau Nafasi Ya Pili Kwa Tochi.
 
Dah uyu Tambwe yupo on fire kinomaaaa Hart trick kwake ni kama kunywa maji vile, sisi Mikia fc yetu michozi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…