Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Tutashiriki MAPINDUZI CUP na MTANI JEMBE SISI MIKIA FC, pongezi kwenu Yanga
hongereni sana yeboyebo kwa ubingwa
Punguzeni kelele basi jamani, tumeshawapa pongezi
Punguzeni kelele basi jamani, tumeshawapa pongezi
Tutawaharibia sherehe ya ubingwa tukikutana!!
Hongereni ndala. (ila msisahau tulivuna points 4 kutoka kwenu)
Hizo point nne zimekufikisha wapi? Zimekusaidia utashiriki kombe lipi la maana?
Jamani muwe na nidhamu Na huu uzi ulianza tangu jana usiku
Naomba nikumbushwe mara ya mwisho simba kuchukua ubingwa ni lini.....?
Punguzeni kelele basi
sasa tutashangiliaje kimya kimya??..piga keleleeeeeeeeeeweeeeeeeeeee
FT
4-1
⚽YOUNG AFRICANS⚽
Champion⏳⌛☀⭐
VPL 2014/2015
TUFUNGUE shampen woteeeee Kazi nzuri mchezo mzuri congratulations YANGA
Hivi ule utaratibu wa timu ikitwaa ubingwa kabla ya mechi kuisha timu zile zitakazo cheza na bingwa zinampa heshima ipo kwenye VPL...