VPL: Yanga vs Polisi Moro,mechi ya ubingwa na kushuka daraja

VPL: Yanga vs Polisi Moro,mechi ya ubingwa na kushuka daraja

Polisi walijitahidi sana kutumia nguvu ili kuwakabil wananchi lakin nguvu za wananchi zimewazidi na sasa wanatepweta tepweta...,.,
 
mikia eti wameshindwa kuja taifa kusheerekea ubingwa sababu wanayotoa yakijinga eti wanasumbuliwa na red eyes sina uhakika eti katavi hii ni kwel?
 
Tuendelee kupata moja baridi moja mota na nyama choma waka huu wa halftime wana yanga wenzangu.
 
Leo YANGA tunatangaza ubingwa then tunaenda kumshikisha adabu mwarabu, tukirudi tumechoka kweli kweli Azam fc mje mjipigie ili mmalize wa pili.
 
Dah !, nilisema Yanga lazima aongoze first half, nifah endelea kufanya maandalizi ya kufa mtu
 
Yanga sasa hii sifa ubingwa wa ligi ni yanga,ufungaji bora ni yanga,mchezaji bora wa ligi yanga,goli kipa bora wa ligi yanga na kocha bora yanga.

Yanga bingwa mara 25

bayern munchen bingwa mara 25.

Yanga oyeeeeee
 
Flash back: Tambwe, Yondani, Barthez, Dida, Ngassa, .... hawa wote walifundishwa kucheza mpira SSc. Inapendeza sana. Bila hawa sijui hata kama mngekuwa hapo mlipofikia.
 
Flash back: Tambwe, Yondani, Barthez, Dida, Ngassa, .... hawa wote walifundishwa kucheza mpira SSc. Inapendeza sana. Bila hawa sijui hata kama mngekuwa hapo mlipofikia.

Kalale Mkuu, unaboa tu! Kati ya hao wote hakuna aliyepitia academy ya Simba. Wamecheza Simba kama sehemu ya maisha na siyo vinginevyo.
 
Leo lazima nikanywe pale simba kapakatwa pub...
 
Back
Top Bottom