VPL: Yanga vs Polisi Moro,mechi ya ubingwa na kushuka daraja

VPL: Yanga vs Polisi Moro,mechi ya ubingwa na kushuka daraja

Ha ha ha! Umesharudi mito na nadhani unajua hilo.
Ubuyu wa mchagga saa 3 kamili.

asante nifah huo wa mchaga ndo nausubiri kwa hamu niusome kabla mods hawajauchakachua
 
Last edited by a moderator:
asante nifah huo wa mchaga ndo nausubiri kwa hamu niusome kabla mods hawajauchakachua

Shauri zako ukichelewa kidogo tu utakuta uzi umeshafungwa na mods wakishau- summaries ndio wanarudisha utakua ushapitwa na uhondo.
 
Last edited by a moderator:
Jamani Kila Mahali Yanga! Yanga! Ni Ugonjwa Mpya Au Ni Chama Kipya Cha Siasa Tunashindwa Hata Kunywa Maji Kisa Yanga Khaaa..!

Credit:Malisa Godlisten
 
1.jpg
2.jpg
IMGS2732.JPG
Kocha.jpg

Kombe.jpg
Tambwe akipewa mpira.jpg
Wachezaji wakishangilia baada ya mchezo.jpg

SOURCE| http://issamichuzi.blogspot.com/2015/04/yanga-bingwa-2015yainyuka-polisi-moro-4.html
 
Shauri zako ukichelewa kidogo tu utakuta uzi umeshafungwa na mods wakishau- summaries ndio wanarudisha utakua ushapitwa na uhondo.

tusituane basi nifah ukishawekwa
 
Ni walevi wanapokuwa tungi ndo hutaja taja hili jina. Ni nafsi mfu fulani hivi huwa inawaita ndo wanataja hili jina, sio chama wala kitu kingine cha maana!
 
Simba hizo nafasi kanizoea hebu tujikumbushe

Ha ha ha! Hawa jamaa sijui hua wanapata wapi kiburi wakati ni wabovu long time.
Kutufunga Yanga tu ndio wanaona sifa wakati wana rekodi mbovu kama hizi.
 
Mkia wakisikia hilo jina wananuna vibaya mno...
 
Barafu tulizana acha wivu ndo matokeo hata kama huyapendi ndo yashakua. Uwezo wa kuzuia jua kwa kiganja haupo tulizana.
 
Ha ha ha! Hawa jamaa sijui hua wanapata wapi kiburi wakati ni wabovu long time.
Kutufunga Yanga tu ndio wanaona sifa.

Simba msiwe mnaikomalia tu YANGA zikomalie na timu nyingine ili angalau muweze kusogea hata nafasi ya pili.
 
OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE

Ukiona Manyoyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa ujue kashika nafasi ya tatuuuuu
Hana jipyaaa.

Hamis Tambwe oyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Alitemwa na Simba yeye na Yondan leo hii wanakula bata safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Hiyo ndio faida ya Fitna,mungu hakawiii kuwaumbua wanafiki,Tambweeeeee
Simba wa Ndondo Cup tu hawana jipya,mwakani wawe washangiliaji.

YANGA na AZAM ndio habari ya mjiniiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom