faru john12
Member
- Dec 13, 2016
- 20
- 8
SanaaaaaYanga raha[emoji13] [emoji13]
Afu we mdada tunafanana kwenye mambo mengi sana siasani,mpirani,kwenye zile team zetu uchwara za wasanii!!Sanaaaaa
Nafurahi kuona wadada tupo active na mpira namna hii...
Umeona eeh?Sanaaaaa
Nafurahi kuona wadada tupo active na mpira namna hii...
Watawala wa soka Tanzania Yanga 2-0 JKT RuvuNifah nipe matokeo kwa muda huu yanasemaje
Kinomanoma.Kabla ligi haijaisha round hii ya pili itabidi niende Taifa nikacheki vitu vyake live.Haroun Niyonzima anajua aisee
Oyooooooooooooo watanyooka tuuu mwaka huuWatawala wa soka Tanzania Yanga 2-0 JKT Ruvu
Rudi upepo huu wa msimu huu unaitwa kaskazi, mpaka yakishatimia magoli 3 leo.Yaani acha kabisa, nimeamua kutokuendelea kuangalia, nimeumia tulivyowakosa kosa.
WooooowAfu we mdada tunafanana kwenye mambo mengi sana siasani,mpirani,kwenye zile team zetu uchwara za wasanii!!
Jike ilo mkuuWooooow
Hold on...Kwani wewe ni Ke au Me?
Kabla sijasema chochote,isijekuwa dume nikakumwagia kisses ikala kwangu [emoji12]
Fanya hivyo aisee. Hata mimi itabidi niende Taifa nikawaone Young AfricanKinomanoma.Kabla ligi haijaisha round hii ya pili itabidi niende Taifa nikacheki vitu vyake live.
Zama mpya hizi, tukiamua tunawezaAfu we mdada tunafanana kwenye mambo mengi sana siasani,mpirani,kwenye zile team zetu uchwara za wasanii!!
Nishatoka home mkuu, ila nasikia watu wakishangilia, its obvious goli la pili right?Rudi upepo huu wa msimu huu unaitwa kaskazi, mpaka yakishatimia magoli 3 leo.
-Msimu huu wa pili hakuna hata mechi moja tunapoteza mkuu.