VPL : Yanga yakwaa kileleni kwa kuifumua JKT Ruvu goli tatu bila majibu

VPL : Yanga yakwaa kileleni kwa kuifumua JKT Ruvu goli tatu bila majibu

Yangaaaaa woyeeeeeeeeeee,tunamtaka mkata umemeeeee,,,,,,Kamsoko ukooo wapiiiiii kwenye group?
 
Afu we mdada tunafanana kwenye mambo mengi sana siasani,mpirani,kwenye zile team zetu uchwara za wasanii!!
Wooooow
Hold on...Kwani wewe ni Ke au Me?
Kabla sijasema chochote,isijekuwa dume nikakumwagia kisses ikala kwangu [emoji12]
 
Kinomanoma.Kabla ligi haijaisha round hii ya pili itabidi niende Taifa nikacheki vitu vyake live.
Fanya hivyo aisee. Hata mimi itabidi niende Taifa nikawaone Young African
 
Dakika ya 85: Yanga wanafanya mabadiliko, ametoka Thaban Kamusoko ameingia, Mwashiuya.
 
Back
Top Bottom