VPL : Yanga yakwaa kileleni kwa kuifumua JKT Ruvu goli tatu bila majibu

Mtani siunajua Bodi ya Ligi kila kukicha wanabadili ratiba.. kesho Mnyama ndio ataunguruma Nagwanda Sijaona.. Ila hongereni kwa kukaa kileleni kwa muda.
Si ndio vyema! Kwa kuwa umepewa siku moja ya ziada ya kujipumzisha?
 
Kesho wakifungwa na NDANDA FC wataanza kutoa lawama.

Watasema ahh mchezo wa leo tumepoteza dhidi ya NDANDA FC haya yote kayataka refa, yaani ameshindwa kabisa kuchezwsha vizuri mechi ya Yanga na JKruvu.
 
Kuna kitu nimeona leo......yanga wanauwezo wa kupenyeza mipira katikati na kutafuta magoli kupitia katikati pia. Tulizoea magoli mengi hutokea pembeni hasa krosi
 
Hii ndo yanga bhana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji109] [emoji109] Aiseee kweli nimekuaminia, utabiri umetimia, kunywa kijoti kwa gharama zako[emoji12] [emoji12]
Msg nimeisoma kichwa kichwa mkuu nimekunywa kijoti fasta, narudia kuisoma tena kumbe nilipe mwenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23]
-nimekula nauli, imebidi nilipie tu hapa nipo mwembechai magomeni natembea kwa mguu kurudi nyumbani
 
Msg nimeisoma kichwa kichwa mkuu nimekunywa kijoti fasta, narudia kuisoma tena kumbe nilipe mwenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23]
-nimekula nauli, imebidi nilipie tu hapa nipo mwembe magomeni natembe kwa mguu kurudi nyumbani

Hahahaaaaa!!! Pole sana, ila umefanya zoezi, cena wewe tena, hayo mambo madogo tu.
 
Kuna kitu nimeona leo......yanga wanauwezo wa kupenyeza mipira katikati na kutafuta magoli kupitia katikati pia. Tulizoea magoli mengi hutokea pembeni hasa krosi
Labda vitu vya Lwandamina. Niyonzima kucheza nafasi ya Tambwe.
Tusubiri utamu mwingine unakuja. Options sasa zimekuwa nyingi. Niyonzima mwiba kwa maadui.
 
Kapigeni magoti mishahara ilipwe. Hali ngumu. Mnaweza kupitisha kikapu cha mchango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…