demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Si ndio vyema! Kwa kuwa umepewa siku moja ya ziada ya kujipumzisha?Mtani siunajua Bodi ya Ligi kila kukicha wanabadili ratiba.. kesho Mnyama ndio ataunguruma Nagwanda Sijaona.. Ila hongereni kwa kukaa kileleni kwa muda.