Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hivi goli la 3-0 mama.Nishatoka home mkuu, ila nasikia watu wakishangilia, its obvious goli la pili right?
Oyooooooo kesho Simba wakipoteza nitaserebuka hatariiii.Yanga haoooo mpaka kileleni
Kuna kenge mmoja humu kasema ati Msuva amekwisha!!Sasa hivi goli la 3-0 mama.
Uwiiiiiiii niko happy kinomaaaaaa
Hahahaaa mi ni ke banaWooooow
Hold on...Kwani wewe ni Ke au Me?
Kabla sijasema chochote,isijekuwa dume nikakumwagia kisses ikala kwangu [emoji12]
Umeona eee yani hadi rahaZama mpya hizi, tukiamua tunaweza
Nishatoka home mkuu, ila nasikia watu wakishangilia, its obvious goli la pili right?
-Nilichokitabiri nimepatia 100% mkuuWanaYanga wala hatuna presha kabisa kwenye mechi kama hizi..tumewakosa kosa sana Jkt ruvu tunawafunga 3 - 0.
WanaYanga wala hatuna presha kabisa kwenye mechi kama hizi..tumewakosa kosa sana Jkt ruvu tunawafunga 3 - 0.
Wakishindwa au kudroo hawatupati tenaOyooooooo kesho Simba wakipoteza nitaserebuka hatariiii.
Tuwaombee mabaya watani wetu,Amen [emoji12]
Kilele cha wapi,weka msimamoYanga haoooo mpaka kileleni
Mkuu unawaza jambo moja tu?Kilele cha wapi,weka msimamo