Mleta uzi tunaomba uiangalie picha hii
Webgine kwa kimombo basi tu wanaanyaganaLucas Mwashambwa mbona umepotea! Kuna machawa wapya wanachukua nafasi yako.
Haya ndiyo majibu ya hoja zake au tusubiri majibu yanakuja?HUYU JAMAA NIkUMPUUZAA MAANA NI MUHUNI ALIEKIDHIR
Polepole na uongo na siasa za ujanja janja
Mwaka 2014 Magufuli alituletea MV Bagamoyo ambayo Kwa kifupi pesa zote Milion 710 hazionesha mzabuni ni nani na imenunuliwaje, ikajitokeza kwenye TV Channel 10 ukiutetea wizi huo na kusema mkataba ulieleza kwamba ziende kuongezwa speed y’a engine Kumbe ulilipwa 150,000 Kwa maudhui hayo kutudanganya ili apite!
Tumeibiwa Tril 1.5 wakati asilimia 30 yake unajua imepelekwa Seychellois ukaja na kalamu kutudanganya, unajua pesa wamepewa Kina Mashinji na Nassary na wapinzani kuhama!
View attachment 3461324
We umekuwa na dharau kubwa Kwa Mama Samia tokea akiwa Makamu! Niliweka ushahidi ukaomba niufute Kwa kuwa ntagawa chama ila Umehujumu kila Njia y’a SAMIA akiwa Makamu!!! Kampeni na wasanii ulidiriki kutamka mbele ya Steven Nyerere kwamba msihangaike na Huyo bibi ambaye kauli zake zinaishia Koridoni wakati kwenye ofisi yupo Muhusika, hata Kipindi Magufuli amekufa kundi lenu lilikuwa nyuma ya Mpango wa kutoruhusu Mama awe Rais, SIRRO na Mabeyo wanajua (Dokezo) likatoka
.#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia
Nipo ephen_ lazizi wa ❤️ Wanguuu. Nakuandalia Mambo mazuri sana yatakayo kububujisha Machozi ya Furaha Muda wote.Lucas Mwashambwa mbona umepotea! Kuna machawa wapya wanachukua nafasi yako.
ccm wote ni wezi!HUYU JAMAA NIkUMPUUZAA MAANA NI MUHUNI ALIEKIDHIR
Polepole na uongo na siasa za ujanja janja
Mwaka 2014 Magufuli alituletea MV Bagamoyo ambayo Kwa kifupi pesa zote Milion 710 hazionesha mzabuni ni nani na imenunuliwaje, ikajitokeza kwenye TV Channel 10 ukiutetea wizi huo na kusema mkataba ulieleza kwamba ziende kuongezwa speed y’a engine Kumbe ulilipwa 150,000 Kwa maudhui hayo kutudanganya ili apite!
Tumeibiwa Tril 1.5 wakati asilimia 30 yake unajua imepelekwa Seychellois ukaja na kalamu kutudanganya, unajua pesa wamepewa Kina Mashinji na Nassary na wapinzani kuhama!
View attachment 3461324
We umekuwa na dharau kubwa Kwa Mama Samia tokea akiwa Makamu! Niliweka ushahidi ukaomba niufute Kwa kuwa ntagawa chama ila Umehujumu kila Njia y’a SAMIA akiwa Makamu!!! Kampeni na wasanii ulidiriki kutamka mbele ya Steven Nyerere kwamba msihangaike na Huyo bibi ambaye kauli zake zinaishia Koridoni wakati kwenye ofisi yupo Muhusika, hata Kipindi Magufuli amekufa kundi lenu lilikuwa nyuma ya Mpango wa kutoruhusu Mama awe Rais, SIRRO na Mabeyo wanajua (Dokezo) likatoka
.#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia
Fitna tu! Haisaidii! Mtazidi kuumbukaHUYU JAMAA NIkUMPUUZAA MAANA NI MUHUNI ALIEKIDHIR

Kajifanyia "Reincarnation " kajiua na kuzaliwa kivingine... Naona Kuna maelekezo yametoka Masaki kuwa "user names" za zamani zinapingana na kinachotakiwa kusemwa sasa hivyo ndiyo unaliona hilo wimbi la hizo akaunti Njuka (New comers)Lucas Mwashambwa mbona umepotea! Kuna machawa wapya wanachukua nafasi yako.
Mkuu Haina haja ya kuwwatukana ila we jua tu wanajitokeza wale kikundi Cha kihuni wanamtandao...angalia joined yake ndio utaelewa...ukiona hivyo ujue Kuna mahala wameguswa kwenye makendeKenge wa maziwa wewe, Nina hakika cheti chako Cha Kidato Cha Nne, kina F 6, D 3
Na awamu hii ya 6 watekaji na wauaji ni akina nani??Uki moderate utekaji Kwenye Ofis zenu UVCCM floor ya 5 office no 11 private detention room ambayo mkitaka kuwadhuru watu mmawaambia polis kuondoa watu wao!
Unatufunguwa masikio wananchi.Endelea kutupa habari za uhakika huyo polepole ni fisadi Papa,na ana wenzake,wake nyuma yake,wamej8ficha.HUYU JAMAA NIkUMPUUZAA MAANA NI MUHUNI ALIEKIDHIR
Polepole na uongo na siasa za ujanja janja
Mwaka 2014 Magufuli alituletea MV Bagamoyo ambayo Kwa kifupi pesa zote Milion 710 hazionesha mzabuni ni nani na imenunuliwaje, ikajitokeza kwenye TV Channel 10 ukiutetea wizi huo na kusema mkataba ulieleza kwamba ziende kuongezwa speed y’a engine Kumbe ulilipwa 150,000 Kwa maudhui hayo kutudanganya ili apite!
Tumeibiwa Tril 1.5 wakati asilimia 30 yake unajua imepelekwa Seychellois ukaja na kalamu kutudanganya, unajua pesa wamepewa Kina Mashinji na Nassary na wapinzani kuhama!
View attachment 3461324
We umekuwa na dharau kubwa Kwa Mama Samia tokea akiwa Makamu! Niliweka ushahidi ukaomba niufute Kwa kuwa ntagawa chama ila Umehujumu kila Njia y’a SAMIA akiwa Makamu!!! Kampeni na wasanii ulidiriki kutamka mbele ya Steven Nyerere kwamba msihangaike na Huyo bibi ambaye kauli zake zinaishia Koridoni wakati kwenye ofisi yupo Muhusika, hata Kipindi Magufuli amekufa kundi lenu lilikuwa nyuma ya Mpango wa kutoruhusu Mama awe Rais, SIRRO na Mabeyo wanajua (Dokezo) likatoka
.#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia#Haijapatakutokea#KurayakwanzakwaSamia
Slow slow ni fisadi papaAcha kuwa kubwa jinga mkuu! Taarifa za kuhujumiwa aliyekuwa raisi wa awamu ya tano na jk zipo kule idara ya usalaama wa taifa na wanajuwa kila kitu polepole amesema bila wasiwasi nyiwe wana mtandao ni majitu makatili katika taifa letu na mjue novena ilishaanza kufanya kazi yake