VR inazidi Kuangaza juu ya Polepole inasemekana ni mwizi 2015 na pia mtekaji mkubwa

Huyo mama yako mbona naye anaendelea kutembelea humohumo kwenye utekaji, ushambuliaji, ubambikaji kesi......
Au ndiyo yale ya watoto......kwakuwa wewe ulilamba sukari jana, huna haki ya kunisema leo ninapolamba sukari....
 
Hii Ina halalisha wizi wa Abdul,Waziri, Angela Kizigha Lugumi na Rostam Azizi?
Acha ujinga
 
Makamu wa Rais alikuwa mama yako kaburu mkoloni Dikteta toka Zanzibar na mshauri mkuu wa magufuli, yote yaliyotendwa na magufuli aliyashiriki ingawa sasa yeye yupo hai kawa mnyama zaidi anateka anaua anawabambikia kesi za uongo chadema anafuja pesa za walipa kodi kuwalipa Mbowe kudidimiza demokrasia kuwakumbatia wezi wa Rasilimali za Nchi Rostam Aziz Angela kiziga na magenge yao ya wezi , polepole kawsshika pabaya hata mfungue nyuzi milion 100 hamumuwezi kamwe
 
Shida kubwa iliyopo ccm hawana watu wa kujibu Hoja wana vijana wavuta Bangi wasumbufu mitandaoni kazi yao ni kufungua nyuzi nyingi hovyo hovyo wakizani wanamjibu polepole kumbe wanazidi kumpaisha kwa kukosa hoja na majibu
 
Umekuja na ID mpya tena ili upambane na pole pole? Na bado
 
Hii Ina halalisha wizi wa Abdul,Waziri, Angela Kizigha Lugumi na Rostam Azizi?
Acha ujinga
ibilisi wa ccm chawaccm wao kwa Akili zao ndogo hadhani kumshambulia polepole kutawasafisha wezi wa Rasilimali za Nchi kumbe hawajui wanazidi kujidhalilisha zaidi
 
Huyo mama yako mbona naye anaendelea kutembelea humohumo kwenye utekaji, ushambuliaji, ubambikaji kesi......
Au ndiyo yale ya watoto......kwakuwa wewe ulilamba sukari jana, huna haki ya kunisema leo ninapolamba sukari....
JPM alifanya unyama kwa Lissu peke yake. Wengine wengi waliotekwa na kuuawawa sababu zilikuwa siasa za ndani ya vyama vyenyewe, hilo unaweza usikubaliane na mimi lakini ukweli kwa asilimia 100.

Haya yanayofanyika awamu hii pia ni siasa za ndani na uharamia wa kidunia uliopo hivi sasa, Samia hahusiki kwa namna yoyote.

Kwa mujibu wa wasaidizi wake wa karibu kabisa.
 
Sa 100 alikuwa sehemu ya uongozi wa Magufuli.
Kuendeleza utekaji na upotevu wa raia wanatofautiana naye.
Alivyo wa hovyo kaminya hadi uhuru wa kuabudu kwa kufunga makanisa yamehoji utekaji na upoteaji wa raia.
 
Sa 100 alikuwa sehemu ya uongozi wa Magufuli.
Kuendeleza utekaji na upotevu wa raia wanatofautiana naye.
Alivyo wa hovyo kaminya hadi uhuru wa kuabudu kwa kufunga makanisa yamehoji utekaji na upoteaji wa raia.
Sisi wakatoliki tulimaliza Novena jumapili ya wiki iliyopita hakuna wa kutuzuia kusali wala kukusanyika.

Hali kadhalika madhehebu mengi ya kikristo yameendelea kusali kama kawaida, ukiona Gwajima anazuiliwa kukusanyika ujue kwamba intelligensia imegundua kilichoko kanisani mwake kiasi cha kuzuia waumini wake kusali.
 
Gwajima alihoji juu ya utekaji wa raia mamako huyo akayafungia mkanisa!. Kumbuka watekaji hawaangalii dini bali wanayemhisi kupingana na serikali ya mamako.
 
Gwajima alihoji juu ya utekaji wa mamako huyo alifungiwa kanisa!. Kumbuka watekaji hawaangalii dini bali wanayemhisi kupingana na serikali ya mamako.
Father Kitima alikuwa mpingaji mkuu wa biashara ya DPW hapa Tanzania kiasi cha msimamo wa kanisa katoliki kusomwa makanisani lakini Samia akaendelea na uwekezaji huo na hivi sasa unaendelea hapo bandarini.

Umeshawahi kusikia serikali imelifungia kanisa katoliki?. Gwajima anayo madhambi tusiyoyajua mimi na wewe.
 
Ongeza, Kitima akashambuliwa na "wasiojulikana"
Gwajima akahoji utekaji na ushambuliaji akafungwa kanisa.
 
Mfuatw huko ukamwambie

Au na wewe umenunuliwa ?

Jibu hoja zake acha kurandaranda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…