Vua kinyago mzee tumejua wewe ni Pep Guardiola

Vua kinyago mzee tumejua wewe ni Pep Guardiola

Bahati mbaya sijawafuatilia kwa muda ila kwa sababu ya mafanikio yao ya nyuma naweza kusema inastahili heshma yake. Sasa ingieni kichwakichwa kama mlivyofanya kwa Al Hilal muone kitakachowatokea.
Naona umesimama katikati ili matokeo yakija vyovyote huwe na njia ya kujitetea
 
Tunzeni maneno, Al Merrik wao kuingia makundi si stori kama Yanga, wapeni heshima yao, siyo wepesi kama mmavyodhani.

Tatizo la Yanga kila mchezaji ana uchu wa kushambulia, mtafungwa moja tu kazi inaisha.
 
Kutokana na Ubora wa Yanga inavyo cheza kwa sasa bado hatujapata timu inayo weza kuonyesha mapungufu yetu.
Kwenye Ngao ya jamii timu zote alizocheza nazazo ali zizidi kilakitu sema makosa ya kibinadamu yalikua mengi na ikapelekea kukosa ngao na uo ndio ukweli.
Tusubiri tuone ao Wasudani watuonyeshe wapi panapo vuja.

Kwa ligi yetu ya ndani inaweza kutokea kuteleza kidogo ila si kukosa ubingwa.
 
Bahati mbaya sijawafuatilia kwa muda ila kwa sababu ya mafanikio yao ya nyuma naweza kusema inastahili heshma yake. Sasa ingieni kichwakichwa kama mlivyofanya kwa Al Hilal muone kitakachowatokea.
Kwa hiyo tukiwatoa hamtakuja kusema ni wabovu?
 
Sawa. Kwa Zalan ilikuwaje?
Vipi kuhusu Al hilal?
Champion league siyo km shirikisho.
Unafikiri unakoelekea utakuja uipige timu magoli 5? Umeshasahau Al hilal? Mbona mlishindwa kuifunga goli nyingi?
Kama nyie mlikuwa mnapigwa hamsa hamsa kwenye makundi inashindikana nini Yanga kumpiga mtu hamsa?
 
Back
Top Bottom