Vua kinyago mzee tumejua wewe ni Pep Guardiola

Vua kinyago mzee tumejua wewe ni Pep Guardiola

Tunzeni maneno, Al Merrik wao kuingia makundi si stori kama Yanga, wapeni heshima yao, siyo wepesi kama mmavyodhani.

Tatizo la Yanga kila mchezaji ana uchu wa kushambulia, mtafungwa moja tu kazi inaisha.
Jibu swali,hao jamaa ni wazuri au wabovu?
 
Bado hajakutana na mechi ngumu hata moja ukiacha ya Simba ambayo kapoteza. AZAM, KMC na wale wasomali ungempa hata Kibabage awe kocha bado Yanga ingeshinda.
Mechi ya Simba kapoteza au katoa sare?
 
Uliangalia ball position na performance ya kila timu uwanjani? au uliangalia penalty tu?
Huko wenye akili ni wawili tu, ball position ndio nini wewe? Halafu kama unacheza vizuri then unapoteza ngao inakusaidia nini?
 
Duuuh, hujui mpira wewe
Sijui mpira mimi au wewe? Embu niambie waliobet kumpa ushindi Simba je kuna yeyote aliyewin bet? Kwanini hakuna aliyewin bet wakati Simba kabeba ngao ya jamii?
 

Attachments

  • IMG_20230827_234415.jpg
    IMG_20230827_234415.jpg
    77 KB · Views: 2
Ni kocha bora kabisa. Karuhusu goli moja tu dhidi ya Wajibuti tangu apewe kibarua Yanga

Kuruhusu goli moja kwa wajibuti ni uzembe wa hali ya juu.

Kwa kiwango chao hawakutakiwa kupata hata goli moja
 
Back
Top Bottom