Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Jibu swali,hao jamaa ni wazuri au wabovu?Tunzeni maneno, Al Merrik wao kuingia makundi si stori kama Yanga, wapeni heshima yao, siyo wepesi kama mmavyodhani.
Tatizo la Yanga kila mchezaji ana uchu wa kushambulia, mtafungwa moja tu kazi inaisha.
Nimekwambia sijawaona, sasa nitasemaje kama ni wabovu au siyo? Wengine huwa hatuandiki mambo kwa mihemko.Kwa hiyo tukiwatoa hamtakuja kusema ni wabovu?
Mechi ya Simba kapoteza au katoa sare?Bado hajakutana na mechi ngumu hata moja ukiacha ya Simba ambayo kapoteza. AZAM, KMC na wale wasomali ungempa hata Kibabage awe kocha bado Yanga ingeshinda.
Yanga bwana, ubishi uko kwenye DNA yenu 🤣😂🤣Mechi ya Simba kapoteza au katoa sare?
Vs Simba, Al Ahly, Mamelod nkMechi ngumu ni kama zipi?
Hakuna timu pale, walipigwa na simba wakatimua kochaTunataka kujua mapema kama El Merrick ni timu nzuri au mbovu.
Umeulizwa swali mechi ya Yanga iliishaje dakika 90Yanga bwana, ubishi uko kwenye DNA yenu 🤣😂🤣
Duuuh, hujui mpira weweMechi ya Simba kapoteza au katoa sare?
Hii ya dk 90 haikuwa kwenye swali, halafu mambo ya kutufunga wametufunga lakini chenga twawala ni mambo ya kizaniUmeulizwa swali mechi ya Yanga iliishaje dakika 90
Huo weupe kama mwezi mchanga unakuzuzua!?....Huyu ni bonge la kocha Yanga wamepataView attachment 2730380
Huko wenye akili ni wawili tu, ball position ndio nini wewe? Halafu kama unacheza vizuri then unapoteza ngao inakusaidia nini?Uliangalia ball position na performance ya kila timu uwanjani? au uliangalia penalty tu?
Uliza yanga alivyoingia makubdi alikula ngapiKama nyie mlikuwa mnapigwa hamsa hamsa kwenye makundi inashindikana nini Yanga kumpiga mtu hamsa?
Sijui mpira mimi au wewe? Embu niambie waliobet kumpa ushindi Simba je kuna yeyote aliyewin bet? Kwanini hakuna aliyewin bet wakati Simba kabeba ngao ya jamii?Duuuh, hujui mpira wewe
Ni kocha bora kabisa. Karuhusu goli moja tu dhidi ya Wajibuti tangu apewe kibarua Yanga
Sawa,tukiwapiga na hao !sije mkasema kuw pa ni wabovuVs Simba, Al Ahly, Mamelod nk
Mechi gani Gamondi kapoteza dhidi ya simbaBado hajakutana na mechi ngumu hata moja ukiacha ya Simba ambayo kapoteza. AZAM, KMC na wale wasomali ungempa hata Kibabage awe kocha bado Yanga ingeshinda.