vugu vugu zilizoanza kenya zinaweza kutapakaa afrika nzima

vugu vugu zilizoanza kenya zinaweza kutapakaa afrika nzima

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Kuna dalili inaonekana vijana wamechoka na serikali za kiafrika mifumo yake.kinachoendelea kenya kinaanza kuamsha wengine nchi za afrika.
mda utasema tu mpaka kufikia 2028
 
Viongozi wanapaswa kutathmini mienendo yao mbele ya wananchi wao ikoje?
Hakuna mwananchi anapenda vurugu ila dhuluma ikizidi mtu anakuwa tayari kwa lolote.
 
Waliotengeneza mifumo ya kujazana hofu na uchawa ni kizazi cha nyuma. Mifumo yote ya upigaji haija asisiwa na vijana wa 2000, ni suala la muda tu before hawajaamka

Tofauti na kizazi kilichopita, kizazi cha sasa kina wasomi wengi zaidi kuliko zamani. What happens unapomsomesha mtu halaf humuwezeshi, they become a ticking time bomb
 
Back
Top Bottom