Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
siyo tanzania/tanganyika, sisi ni maiti zinazotembea ila bado kuoza na kunukaKuna dalili inaonekana vijana wamechoka na serikali za kiafrika mifumo yake.kinachoendelea kenya kinaanza kuamsha wengine nchi za afrika.
mda utasema tu mpaka kufikia 2028
Uzero brain wamerithi kwa nani kama sio kwenu babu zao🤸Kwa Tanzania/Tanganyika; sahau. Maana vijana wetu wengi wa miaka ya 2000 ni Zero Brain. Labda wazee ndiyo tuamue kuingia barabarani.
Hapo utakuwa umetusingizia tu. Hawa viumbe wamezaliwa kwenye kipindi cha utandawazi uliokomaa. Na madhara yake kwenye jamii, ndiyo tunayaona wakati huu.Uzero brain wamerithi kwa nani kama sio kwenu babu zao🤸
Acha nikae kimya! Usije kunipa laana bureHapo utakuwa umetusingizia tu. Hawa viimbe wamezaliwa kwenye kipindi cha utandawazi uliokomaa. Na madhara yake kwenye jamii, ndiyo tunayaona wakati huu.