Vuguvugu la Muungano taratibu linaanza kupata joto

Wapi nimesema Znz ni Mkoa?? Nchi kua na Idadi ndogo ya Watu sio hoja, unaweza ukagoogle nchi zingine,

Halafu hayo maswali yako ndio niliyoyajibu, nyinyi mpo wengi mtadidimiza kisiwa cha Watu na kuharibu historical heritages zao, mbona ving'ang'anizi hivyo!?
Sauti za Busara mboni watu wanajazana na hakizami, emu acha zako
 
Mnakaza shingo kutaka Ardhi ya Watu ina maana Muungano ni nyie kumiliki Ardhi Znz tu, hakuna faida zingine mnazozipata?

Halafu unakuta wengi wa wanaobisha hata Znz yenyewe hawajawahi kufika
 
Nawaelewa Wazanzibar kuhusu umiliki wa Ardhi, kile kisiwa ni kidogo sana, population ya watu haifiki milioni 1, bara ina population ya Milioni 60 huko, hivi wakiruhusu bara wakalime na kujenga hicho kisiwa kitakuwepo kweli?
Pia wenyewe wanalinda Nchi yao ibaki vile ilivyo kwa ajili ya historia ambayo inaleta watalii, wabara wakipatiwa umiliki wa Ardhi si itakua fujo!

Tuseme mengine lakini suala la ardhi wapo sawa.
Hoja mfu kabisa,
Kwahyo wabara wakijenga visiwani wanakula na ardhi yote sio?

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
Niliwah kusema Muungano wa Tanzania una makosa na mapungufu mengi kiutekelezaji tunakoenda tutake tusitake utavunjika kama hautafanyiwa mabadiliko kufatia kero za kimuungano zilizopo.

Mfano
1....Mzazibari anaweza kumiliki ardhi bara lakin mtanganyika Hilo kwa Zanzibar haliwezekan.

2....Mzanzibar anaweza kupewa UONGOZI bara lakin mtanganyika Hilo haliwezekan,Mfano watu wamehoji sana Shaka kupewa ukuu wa wilaya Tanzania bara wakati mtanganyika huwez kuwa mkuu wa wilaya Zanzibar
Eti BIG THINKER na hoja zake mfu. Pumbafffff.
 
Nawaelewa Wazanzibar kuhusu umiliki wa Ardhi, kile kisiwa ni kidogo sana, population ya watu haifiki milioni 1, bara ina population ya Milioni 60 huko, hivi wakiruhusu bara wakalime na kujenga hicho kisiwa kitakuwepo kweli?
Pia wenyewe wanalinda Nchi yao ibaki vile ilivyo kwa ajili ya historia ambayo inaleta watalii, wabara wakipatiwa umiliki wa Ardhi si itakua fujo!

Tuseme mengine lakini suala la ardhi wapo sawa.
Culture me mbona umejibu hoja Moja tu wakati hoja zilizowekwa mezani ziko nne??
 
Nawaelewa Wazanzibar kuhusu umiliki wa Ardhi, kile kisiwa ni kidogo sana, population ya watu haifiki milioni 1, bara ina population ya Milioni 60 huko, hivi wakiruhusu bara wakalime na kujenga hicho kisiwa kitakuwepo kweli?
Pia wenyewe wanalinda Nchi yao ibaki vile ilivyo kwa ajili ya historia ambayo inaleta watalii, wabara wakipatiwa umiliki wa Ardhi si itakua fujo!

Tuseme mengine lakini suala la ardhi wapo sawa.
Wabaki kwwao tubaki kwetu, na siku likipiga Tsunami kisiwa kikafutika kwenye ramani ya dunia ndipo wataingiwa akili kuwa uchoyo siyo mzuri
 
Ume edit bhana,[emoji3]
Original post ulitoa mfano wa Ardhi na nikajibu kulingana na....
Ni kwel nimeedit baada ya kuona unajibu kwa hoja siyo mihemuko na matusi kama wanavyofanya vijana wengine.

Sasa hebu jib na hizo hoja zingine tatu zilizosalia.
 
Wabaki kwwao tubaki kwetu, na siku likipiga Tsunami kisiwa kikafutika kwenye ramani ya dunia ndipo wataingiwa akili kuwa uchoyo siyo mzuri
Huo Muungano wanaoung'aninia ni nyie nyie Wadanganyika, wenyewe hawautaki hata kuusikia, sasa jiulize kwanini mnawang'ang'ania licha ya kuwawekeeni vikwazo
 
Ni kwel nimeedit baada ya kuona unajibu kwa hoja siyo mihemuko na matusi kama wanavyofanya vijana wengine.

Sasa hebu jib na hizo hoja zingine tatu zilizosalia.
Shida makubaliano ya muungano hayajawekwa wazi, yaani Muungano una faida gani kwa Znz na Tanzania....
Mfano ishu ya kuingia na ID kama Muungano ungekua thabiti basi Nchi zote mbili zisingetembeleana kwa ID.....

Nadhani Aya ya kwanza itakua imejibu maswali yako
 
Kwa hio unataka kutuaminisha kwamba Zanzibar sio Nchi bali ni Mkoa? maana idadi ya watu wake kwa mujibu wa Sensa inazidiwa hata na Tabora au Mwanza, ukiacha mbali Dar

Ulisikia wapi mzanzibar anakatazwa kununua Ardhi Simiyu au Katavi? Wapi ulisikia? Ila wewe wa bara marufuku kununua Ardhi ya Zanzibar labda km unaenda kufanya uwekezaji kwenye Ardhi ya Zanzibar km alivyofanya SSB
Sie Zanzibari twastaarabika, hatutaki wahuni waje kuvuruga ustaarabu wetu
 
Niliwah kusema Muungano wa Tanzania una makosa na mapungufu mengi kiutekelezaji tunakoenda tutake tusitake utavunjika kama hautafanyiwa mabadiliko kufatia kero za kimuungano zilizopo.

Mfano
1....Mzazibari anaweza kumiliki ardhi bara lakin mtanganyika Hilo kwa Zanzibar haliwezekan.

2....Mzanzibar anaweza kupewa UONGOZI bara lakin mtanganyika Hilo haliwezekan,Mfano watu wamehoji sana Shaka kupewa ukuu wa wilaya Tanzania bara wakati mtanganyika huwez kuwa mkuu wa wilaya Zanzibar

3 .... Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ikikusanya kodi Zanzibar fedha hizo zinabaki huko kwa ajili ya matumizi ya Zanzibar, pia kuna Bodi ya Mapato Zanzibar (ZRB) ambayo nayo inakusanya mapato lakini pia nayo yanabaki kuwa kwenye matumizi ya Zanzibar.

4....kutozwa kodi ya bidhaa pale unaponunua bidhaa kutoka upande Mmoja wa MUUNGANO.
We mbona unafanya uhaini hadharani?

Mod ondoa uzi mara moja vingine uwajibike[emoji2959]
 
Sie Zanzibari twastaarabika, hatutaki wahuni waje kuvuruga ustaarabu wetu
Umesema wahuni?

Screenshot_20230215-212838.png
 
Back
Top Bottom