Vuguvugu la Muungano taratibu linaanza kupata joto

Sauti za Busara mboni watu wanajazana na hakizami, emu acha zako
 
Mnakaza shingo kutaka Ardhi ya Watu ina maana Muungano ni nyie kumiliki Ardhi Znz tu, hakuna faida zingine mnazozipata?

Halafu unakuta wengi wa wanaobisha hata Znz yenyewe hawajawahi kufika
 
Hoja mfu kabisa,
Kwahyo wabara wakijenga visiwani wanakula na ardhi yote sio?

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
 
Eti BIG THINKER na hoja zake mfu. Pumbafffff.
 
Culture me mbona umejibu hoja Moja tu wakati hoja zilizowekwa mezani ziko nne??
 
Wabaki kwwao tubaki kwetu, na siku likipiga Tsunami kisiwa kikafutika kwenye ramani ya dunia ndipo wataingiwa akili kuwa uchoyo siyo mzuri
 
Ume edit bhana,[emoji3]
Original post ulitoa mfano wa Ardhi na nikajibu kulingana na....
Ni kwel nimeedit baada ya kuona unajibu kwa hoja siyo mihemuko na matusi kama wanavyofanya vijana wengine.

Sasa hebu jib na hizo hoja zingine tatu zilizosalia.
 
Wabaki kwwao tubaki kwetu, na siku likipiga Tsunami kisiwa kikafutika kwenye ramani ya dunia ndipo wataingiwa akili kuwa uchoyo siyo mzuri
Huo Muungano wanaoung'aninia ni nyie nyie Wadanganyika, wenyewe hawautaki hata kuusikia, sasa jiulize kwanini mnawang'ang'ania licha ya kuwawekeeni vikwazo
 
Ni kwel nimeedit baada ya kuona unajibu kwa hoja siyo mihemuko na matusi kama wanavyofanya vijana wengine.

Sasa hebu jib na hizo hoja zingine tatu zilizosalia.
Shida makubaliano ya muungano hayajawekwa wazi, yaani Muungano una faida gani kwa Znz na Tanzania....
Mfano ishu ya kuingia na ID kama Muungano ungekua thabiti basi Nchi zote mbili zisingetembeleana kwa ID.....

Nadhani Aya ya kwanza itakua imejibu maswali yako
 
Sie Zanzibari twastaarabika, hatutaki wahuni waje kuvuruga ustaarabu wetu
 
We mbona unafanya uhaini hadharani?

Mod ondoa uzi mara moja vingine uwajibike[emoji2959]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…