Vuguvugu la Muungano taratibu linaanza kupata joto

Nimetafakafi Sana leo kwa kina, nikajiuliza hvi huu muungano unaopgiwa kelele na akina balozi karume , siku ikatokea ukavunjika rasmi , wanzanzibar historia itawabeba , wajukuu wao watawaona Babu zao walikuwa ma genius Sana. Ila kwa huku Tanganyika wajukuu wetu historia itakuwa ya kustajabisha Sana kwao . Nimetafakari Sana !!!!heri tuendelee kudumisha muungano wetu jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…