Vunja Bei na Viongozi wa Simba akili zao ni sawa

WATANZANIA WENYE AKILI WANATAKA UBINGWA WA AFRIKA.

MBUMBUMBU WANATAKA JEZI.

Jezi haichezi mpira.
 
Barbara siyo CEO wa Simba, punguza hasira.
 
Kla mtu ashinde mechi zake ya Simba waachie Simba na Wanachama sio mashabiki
 
😂😂Dah kumbe sio Mimi tu nilikuwa najiuliza hii inatakiwa asome ambae haijui Tanzania au anaeijua maana graphics design kidogo haijakaa sawa mtani hapa Kuna sehemu ya kurekebisha


Afu anaeijua kwanini matangazo ya Mo yametolewa? Mo sio mdhamini tena?
 
Huna akili rudi shule hiyo font style inakushindaje kusoma
 
Hii ungeweza kusoma?
 

Attachments

  • Screenshot_20230208-173445_Google Play Store.jpg
    96.1 KB · Views: 3
Design mbovu sijawahi kupata.
Kwanini usiweke maneno yanayosomeka moja kwa moja tu?
 
Huna akili rudi shule hiyo font style inakushindaje kusoma
Nadhani haujamuelewa jamaa alichokosoa. Ni hiyo T ilipaswa isifike juu kwenye Visit. Kwasababu kwajinsi ilivyoandikwa hapo ni T visit Tanzania na sio visit Tanzania
 
Nadhani haujamuelewa jamaa alichokosoa. Ni hiyo T ilipaswa isifike juu kwenye Visit. Kwasababu kwajinsi ilivyoandikwa hapo ni T visit Tanzania na sio visit Tanzania
Tumemuelewa sana ndio maana nikasema ni FONT STYLES angalia hapa chini msikariri.

Hapa ndezi anaweza kuhoji kwanini S ipo kama nyoja na F ipo kama S ni manjonjo tu kama umegraduate degree kuna yale maandishi kwenye cheti huwa kama urembo flani, ushawahi kuhoji kwanini wasitumie TAHOMA au NEW TIMES ROMAN
 

Attachments

  • Screenshot_20230208-174909_Google.jpg
    76.7 KB · Views: 2
  • Screenshot_20230208-174827_Google.jpg
    44.1 KB · Views: 3
Wewe kilaza umeshindwa kabisa kusoma hiyo Visit Tanzania unasema Tvisit? Ndiyo maana mnashindwa mitihani kipumbavu. Aibu yako hii na wajinga wenzako watakuunga mkono. Luc Eymael aliona mbali kuwaita nyie mbwa,kima na uneducated.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…