CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
WATANZANIA WENYE AKILI WANATAKA UBINGWA WA AFRIKA.
MBUMBUMBU WANATAKA JEZI.
Jezi haichezi mpira.
MBUMBUMBU WANATAKA JEZI.
Jezi haichezi mpira.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania wenye akili wanataka jezi na ubingwaWATANZANIA WENYE AKILI WANATAKA UBINGWA WA AFRIKA.
MBUMBUMBU WANATAKA JEZI.
Jezi haichezi mpira.
Barbara siyo CEO wa Simba, punguza hasira.Hizo ni Jezi kwaajili ya Club bingwa, wewe mbumbumbu.
Jezi za nyumbani zitaendelea kuwa na matangazo ya Mo Kama kawaida.
Halafu Utakuwa taahira sana kumtengenanisha Mo na Vunjabei kwenye suala la Jezi.
HAKUNA kitu chenye pesa au Maslahi kinafanyika Simba bila Mo kujua au kubaliki. Na ndio maana Kuna wake wake pale akiwemo CEO Barbara.
Yanga kafikaje hapa mbumbumbu wewe?Yanga ukiwaona kama wapo serious vile kumbe wanakamilisha ratiba tu wamebaki kuponda tu kila kitu cha simba.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
😂😂Dah kumbe sio Mimi tu nilikuwa najiuliza hii inatakiwa asome ambae haijui Tanzania au anaeijua maana graphics design kidogo haijakaa sawa mtani hapa Kuna sehemu ya kurekebishaTVISIT TANZANIA
Niliposomea graphics ndo inamaanisha hivyo, itakuwa elimu yangu mbovu. Watanzania tu ndo tunaelewa hii, na sisi sio walengwa wa tangazo hapo.Tangazo Muhimu kama hili unakuja na front ya ajabu,Hii inaonesha kabisa watu graphics wa Vunja bei ni wabovu kabisa Tvisit Tanzania maana yake ni nini? Mbaya zaidi viongozi wameona ila wakashindwa kufanya maamuzi dah
Jamaa anahisi Kila mtu amekaa kukejeli , vingine tunajuzana kama wapenda soka hizi timu ni zetu wote zinatuwakilisha woteYanga kafikaje hapa mbumbumbu wewe?
Huna akili rudi shule hiyo font style inakushindaje kusomaTVISIT TANZANIA
Niliposomea graphics ndo inamaanisha hivyo, itakuwa elimu yangu mbovu. Watanzania tu ndo tunaelewa hii, na sisi sio walengwa wa tangazo hapo.Tangazo Muhimu kama hili unakuja na front ya ajabu,Hii inaonesha kabisa watu graphics wa Vunja bei ni wabovu kabisa Tvisit Tanzania maana yake ni nini? Mbaya zaidi viongozi wameona ila wakashindwa kufanya maamuzi dah
Hata Kama amewekwa Nani bado kawekwa na MO.Barbara siyo CEO wa Simba, punguza hasira.
Nadhani haujamuelewa jamaa alichokosoa. Ni hiyo T ilipaswa isifike juu kwenye Visit. Kwasababu kwajinsi ilivyoandikwa hapo ni T visit Tanzania na sio visit TanzaniaHuna akili rudi shule hiyo font style inakushindaje kusoma
Tumemuelewa sana ndio maana nikasema ni FONT STYLES angalia hapa chini msikariri.Nadhani haujamuelewa jamaa alichokosoa. Ni hiyo T ilipaswa isifike juu kwenye Visit. Kwasababu kwajinsi ilivyoandikwa hapo ni T visit Tanzania na sio visit Tanzania
Wewe kilaza umeshindwa kabisa kusoma hiyo Visit Tanzania unasema Tvisit? Ndiyo maana mnashindwa mitihani kipumbavu. Aibu yako hii na wajinga wenzako watakuunga mkono. Luc Eymael aliona mbali kuwaita nyie mbwa,kima na uneducated.TVISIT TANZANIA
Niliposomea graphics ndo inamaanisha hivyo, itakuwa elimu yangu mbovu. Watanzania tu ndo tunaelewa hii, na sisi sio walengwa wa tangazo hapo.Tangazo Muhimu kama hili unakuja na front ya ajabu,Hii inaonesha kabisa watu graphics wa Vunja bei ni wabovu kabisa Tvisit Tanzania maana yake ni nini? Mbaya zaidi viongozi wameona ila wakashindwa kufanya maamuzi dah
Asiyejua maana haambiwi maanaHivi sijui Vunja bei aliwaza nini hadi akavunja na matangazo ya boss
Hawana akiliYanga ukiwaona kama wapo serious vile kumbe wanakamilisha ratiba tu wamebaki kuponda tu kila kitu cha simba.
Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Amemaanisha kuwa wewe huna akili kabisaMkuu umemaanisha nini kuniita mimi mbumbumbu? Kwamba ni mwanachama mwenzio wa timu yenu ya Rage fc ama.
Aibu yenu hiiVipi na nyinyi mlioshupaza shingo kwenye ile nembo ya CAF iliyowekwa na Yanga kwenye tangazo lao?
Unajifanya mjuaji, kumbe ni mbumbumbu tu.
Sportpesa wenyewe ndiyo wanalalamikaLakini Yanga wakisema Sportpesa hausiki katika mashindano ya kimataifa mnakuja na makala za kutosha