U mean j5 prime au?Zipo mpyaa za 4G nauza 380k
Mkuu hivi nw jf tunaipataje manake tapatalk na mtalk wanazinguaungetaja bei ya Windows Phone. Kama ulivyotaja hizo nyingine ungekuwa umetutendea haki wapenzi wa WINDOWS PHONE
Huawei honor x1 bei gani Mkuu?tupo kariakoo...ila tunafanya free delivery kwa wateja wetu pia...maana tumebase zaid kuuza online
Htc one e9+ ni duos mkuu.Hakuna HTC one ya duos, zipo HTC desire ambazo ndio duos
Hata ukiwa mikoani inakufikia Maana niko Karagwetupo kariakoo...ila tunafanya free delivery kwa wateja wetu pia...maana tumebase zaid kuuza online
Bei gani hio 5szipo chief