Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

Ukikijibiwa,nisitue na mie maana nahitaji pia.
zipo za kuanzia lak 3 na nusu kwng ambazo unakuta wengine wanaziuza kuanzia lak 4 na nusu, ila ukitaka za tecno zipo wanauza mpka lak 2
 
nahitaji s6 edge nahitaji 2 zote kwa shilingi 1.2m ,kwa kila moja 600k.mwenye nayo tuwasiliane
mkuu hizo unaweza pata kwa wanao uza used...zangu mpyaa kabsa..naweza kukupa kwa 1.5mil au nikupe s6 kavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…