Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

Naomba nitoe ushuhuda wa simu nilonunua kwa Vieloon.

Mie nipo mkoani, nilihitaji LG G5 , hivyo ilibidi nimtume jamaa yangu alokuwa Dar, simu aliletewa bila shida, ila ilikuwa nje ya box(sijanunua box, nmenunua simu) baada ya siku jamaa yangu alileta simu ikiwa poa kabisa (mpya) hadi leo ndio nayotumia.

Hivyo msipate shaka naye.

Yangu ni hayo tu, namtakia kila la heri
 
Mmmh hizo simu bongo zipo Tangu lini hata LG v20 hazipo sokoni bongo, zipo v10 tu, nina mashaka na wewe LG dealers hawana wewe nani?
 
mkuu Vieloon una Earphones original za I phone au samsung au earphones zozote nazoweza pata mziki kama nipo elements au next door
 
Mmmh hizo simu bongo zipo Tangu lini hata LG v20 hazipo sokoni bongo, zipo v10 tu, nina mashaka na wewe LG dealers hawana wewe nani?
Mimi ninayo LG G5 used but in good condition. Kama una 500,000 nakuachia.
 

Attachments

  • IMG_20170524_152136.jpg
    86.9 KB · Views: 129
Mkuu vieloon nimekutuma ujumbe wassap wiki sasa inaonekana haupo online..kuna shida gani??
 
Mmmh hizo simu bongo zipo Tangu lini hata LG v20 hazipo sokoni bongo, zipo v10 tu, nina mashaka na wewe LG dealers hawana wewe nani?
Ukisubiri official dealers mbona utazeeka, we unaongelea LG G5 mpaka zimeshashuka bei wakati G6 ziko sokoni bongo hata leo ukitaka unapata!!
 
Mimi nauza Infinix note 3 kilo 3 karibu PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…