Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

mmi nna 250000 ntapata simu gani hapo kama si kuwa mtazamaji aisee
 
umetuonea aisee mbona sisi hujatukumbuka.Sisi wa 200K,150K,250k utukumbuke na sisi maan pia ni watanzania.
Hah hah simi zenu zipo ndugu...kila kwenye maghorofa vibanda havikosi...
Smartphones za bei ya kawaida na ndogo zipo tena za ukweli
 
Kama kweli mzigo unatoka SOUTH AFRICA basi zinakua zimetumika na cyo BRAND NEW.
 
SONY XPERIA D5322... Tsh ngapi?
 
Kama kweli mzigo unatoka SOUTH AFRICA basi zinakua zimetumika na cyo BRAND NEW.
Sabab South Africa hakuna maduka ya simu mpyaaa?? we ni balozi wa SA tanzania nini?
 
Sabab South Africa hakuna maduka ya simu mpyaaa?? we ni balozi wa SA tanzania nini?
Mimi sio balozi mkuu.
Ila ninachojua ni kwamba South Africa hawana viwanda vyo kutengeneza hizo simu.

Simu haziwezi kutengenezwa Asia,Ulaya na Marekani halafu zipelekwe South Africa then wewe ukachukue Mzigo South halafu uuze kwa bei ya hizo...

Hizo simu ni OG but zinakua zimetumika huko majuu then ndo South zinakua available kwa bei za chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…