Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

Mhh kuna walakini s5 laki nne themanini ilihali pale mliman city na quality center ni milion moja na laki tatu :I don't believe your phone zitakua na ulakini mkubwa
Mcity hata mshikaki ni buku tano,

Don't take them serious.utapotea.
 
Mhh kuna walakini s5 laki nne themanini ilihali pale mliman city na quality center ni milion moja na laki tatu :I don't believe your phone zitakua na ulakini mkubwa
Kawaida bei ya S5 Laki 5, Mpya kabisa, huyo anayeuza 480k inamaana kapunguza elf 20 tu
 
Mcity hata mshikaki ni buku tano,

Don't take them serious.utapotea.
Kiukweli kama huyu jamaa anauza simu za kweli yupo sahihi kuna jamaa anapesa za hatari kapeleka kutengeneza Iphone hapo Mlimani City mdada na yeye kwa kazi na kimshahara chake akaona deal mzee kalipa kutengeza Iphone yake laki nne mdada mbio kwa mafundi wa kariakoo katengeneza kwa 25,000 karudhisha simu nzima kabisa mzee kalipa laki nne na nauli ya kumpelekea simu nyumbani kapewa
 
Labda za vichochoroni na za kichina I mean grade ya mwisho
Kama upo Dar nipo tayari kukupeleka Dukani ukajiridhishe, mimi huwa napendelea vitendo zaidi, tena unaletewa ikiwa kwenye Boksi mpya kabisa na unainstall CPU Z uone kama itakuletea ujinga wa MEDIATEK
 
Iphone 5S inakua bei gani
 
Aina ya cm na bei zake plzzz
 
Kwa bahat mbaya sina mwanza wakala , ila nafikiria kufanya mppango wa kuwa na mawakala wa aminifu kila mkoa.
Ila kwa sasa watu wa mikoni huwa tunafanya biashara kwa mtandao then mzigo anatumiwa kwa bus na inafika salama salimini
Mkuu nichek whasap no 0767215067 niko mwanza nione nikitaka cm itanifikiaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…