Vunja Bei SmartPhones: achana na bei za zamani sasa Bei imepoa:

Neno Vunja bei ume li apply wapi? Mbona naona ni kama tupo China Plaza - Zamani Mobile Plaza
 
Neno Vunja bei ume li apply wapi? Mbona naona ni kama tupo China Plaza - Zamani Mobile Plaza
Wewe umezoea vitu vya kichina wewe, sio bure! ....
huwez linganisha bidhaa zangu bora na yale masimu low grade za wale kichina plaza...ndio maana hata wameamua kuandika jina la ukweli linaloshabihiana na bidhaa zao...china Mobile!!!
Mimi ni Vunja bei nauza bidhaa za matawi juu km Mcity pale kwa bei cheeee....
waulize walionufaika na bidhaa zangu watakwambia kwanini naitwa jina vunja bei , kwng simu ya milioni unapata kwa laki saba!! KWAHERI!!
 
mkuu nilikuliza bei ya xperia z5 mini hujanipa jibu
 
Mkuu hizo Huawei P8 Lite na P8, unaweza kuniwekea picha, na je bei haishuki?
Kati ya hizo, ni ipi inasapoti Kizazi cha Nne? (4G)
Zote zina 4G ayseee....nichek whatsapp 0654776976
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…