Vunja ukuta wa shikamoo! Uingie kwenye dunia yake kimkakati!

JITU BANDIA

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2023
Posts
4,368
Reaction score
9,937
Ili uweze kufanikiwa, hizi hapa ni mbinu za kitaalamu /Kimkakati na za kisaikolojia poti.

1. Vunja Ukuta wa "Shikamoo"​

Hili ni tatizo la kwanza kwa vijana wengi wa hapo Dar!. ...

Ukimpa "Shikamoo" Mumama kila saa,.... anakuona kama mwanaye au mpwa wake, na hapo hisia za kimapenzi kwako zinakata!

Mbinu za KIMKAKATI!: Tumia majina kama "Dada [Jina lake]", "Madam", au kama mmeshaanza kuzoeana, tumia jina lake moja kwa moja kwa sauti ya upole na yenye mamlaka.
Lengo: Unataka ajue wewe ni mwanaume, siyo mtoto wa mzee salehe!.

2. Onyesha Ukomavu​

Mwanamke aliyekuzidi umri mara nyingi ameshapitia mambo mengi. Hataki kijana anayeshinda Instagram akizungumzia udaku!.

Mazungumzo:
Ongelea malengo, biashara, au mambo yanayoendelea duniani. Onyesha una akili inayochambua mambo.

Msikilizaji Mzuri:
Wamama hawa wanapenda kusikilizwa. Wana stori nyingi na uzoefu. Ukimpa sikio lako na kumuuliza maswali ya busara kuhusu maisha yake, utamteka haraka sana.

3. Muonekano na Harufu​

Hapa ndipo vijana wengi wa dar mnafeli!. Mwanamke mtu mzima anathamini usafi.

Pamba: Siyo lazima uvae suti, lakini vaa nguo zinazokukaa vizuri na zilizo safi Smart.
Unyunyu (Perfume): Tafuta Unyunyu unaonukia kiume na wa kishua... Harufu nzuri ni chambo namba moja ya kumvutia mumama aliyekuzidi umri(age goo)

4. Kujiamini (Confidence)​

Usiwe na hofu ya kumtazama machoni. Ukionyesha unamuogopa kwa sababu ana pesa au ana umri mkubwa, atakuona hufai kuwa naye.

Mbinu: Ongea kwa sauti ya chini lakini inayoeleweka. Usiwe na haraka ya kuomba hela au msaada, utaharibu!... hiyo inamfanya aone unamtaka kwa ajili ya maslahi tu,

5. Utani wa Kiutu Uzima​

Usitumie maneno ya mitaani kama "Oya mrembo mambo vipi?". Badala yake, mpe sifa zinazogusa akili au uwezo wake.

Mfano: "Dada [Jina], unapopanga mambo yako huwa unanivutia sana, una upeo mkubwa ambao vijana wengi wa rika langu hawana. Na ndio maana ninafurahia sana muda tunaotumia pamoja."

Tahadhari Muhimu​

Wamama wengi wenye umri mkubwa wanajua wanachotaka.

Ukiona anaanza kukupa ishara (kukuita mara kwa mara, kukualika chakula cha jioni, au kukupigia simu usiku), jua mlango uko wazi....

Usikurupuke kuanza mambo ya kitandani...muache yeye mwenyewe aongoze show, huku wewe ukionyesha uanaume wako....

Vijana Wa hovyo nimewapa code...wacha nirudi mikekani kwangu niendelee kusuka mikeka... Leo Tottenham yuko uwanjani...GG ni 99.9 %

Baadae nitaachia Code ya Kimkakati....kule kwenye uzi wetu
 
1772700607402.jpeg
 
Kosa KUBWA pale mbetiji anapogeuka kungwi , AISE Mwanamke wa mithali 31
 
Usengerema
 
Hayo mambo yanatokeaga tu, unaweza ukafanya hayo yote usipate chochote na unaweza usifanye hayo yote na ukapata jimama.
 
Back
Top Bottom