Saa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 6,552
- 13,002
Aisee Mungu anajibu maombi kwa wakati Asante sana JITU BANDIANdugu yangu Saa 7 mchana, leo ombi lako limejibiwa mkuu.
😁😁😁
Aisee Mungu anajibu maombi kwa wakati Asante sana JITU BANDIANdugu yangu Saa 7 mchana, leo ombi lako limejibiwa mkuu.
😁😁😁
Usengerema
Leo huyu kijana kafanya makosa makubwa sana,Kwahiyo hawa vijana wanaoniita madam huwa wana nia ya hovyo namimi? Boda wangu marufuku kuanzia leo😨
Aah hapana acha tu atusanue, unakutana na kijana kinakuganda kumbe kina nnia ovu tu🫢Leo huyu kijana kafanya makosa makubwa sana,
Ameanika karibia asilimia 50 za mbinu zakuwin mijimama 😁
Tatizo la vijana wa leo kutokwenda jandoni wanamwaga siri hovyo tu