Vunjabei always disappoints

Hiyo low quality ipi??? na ulinunua wapi?? nina jezi zote tatu za Simba m- bet na zina quality nzuri tuu. au wewe ni Utopolo
 
Angalieni matracksuit haya uniambie yupi ni mbunifu. Yanga wanadhani kujaza mauchafu kwenye nguo ndiyo urembo.

Huyo mkinga Ni kanjanja tu,
Hata ile bill 2 ya bond ilikua ya mchongo tu Kama ilivyokua kwa bill 20 ya mwamedi
Naona umezunguka ila point yako ilikua hapo kwenye 20B za Mo [emoji23]..
 
Umeambiwa jezi ni gwanda za jeshi😂😂😂 unataka jezi kama unaenda vitani
 
Simba timu kubwa inahitaji vitu vya kuenenda na hadhi ya club.Mimi navaa ya Ihefu,Mwaka huu uzi hatunaa.Mtani atapiga hela sana kwa ubunifu wa Ngowi.Ila hapa kwetu ni vunjabei haswaa.Kanyaga twende.Gari inaamkia kwenye gia.
 
Ameshatoa sababu za kutoweka logo ya Mo? Huyu jamaa yangu atakula hasara kwa sababu ya kukurupuka.
Hili la safari hii haliwezi kumuacha Salama. Safari iliyopita alionewa huruma kwa kisingizio cha kubadilisha mdhamini kifuani. Safari hii anazindua jezi dukani hazipo. Timu inacheza mechi ya kwanza tarehe 11 jezi dukani zitafika tarehe 15!!
 
Mbona HIMARS, The Boss , na MoseKing wanasema kuwa MeTl udhamini wake unaishia tu ndani na sio kimataifa.
 
Hiyo low quality ipi??? na ulinunua wapi?? nina jezi zote tatu za Simba m- bet na zina quality nzuri tuu. au wewe ni Utopolo

Kwenye ukweli kubali mdg angu
Kwenye ubunifu wa jezi vyura wapo far better than us
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…