changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Fatulia vizuri kwenye jezi zilizokuwa zimevaliwa utagundua kuwa hakukuwa na logo za Mo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fatulia vizuri kwenye jezi zilizokuwa zimevaliwa utagundua kuwa hakukuwa na logo za Mo
Naona umezunguka ila point yako ilikua hapo kwenye 20B za Mo [emoji23]..Huyo mkinga Ni kanjanja tu,
Hata ile bill 2 ya bond ilikua ya mchongo tu Kama ilivyokua kwa bill 20 ya mwamedi
Umeambiwa jezi ni gwanda za jeshi😂😂😂 unataka jezi kama unaenda vitaniHuyu jamaa nadhan akimaliza mkataba asiongezewe tafadhali sana.
Nadhani Simba waingie mkataba na mtu tofaut halaf huyo mtu aingie ubia na fred awe anauzia jezi kwenyw maduka yake. Always ana dissapoit.
Low quality jersey (jamaa anatoa jezi kama nguo zake hata aibu haoni) jezi ya mwaka huu nimeshindwa kuivaa nimetunza ndani kitambaa chepesi low quality yaan huwa naona hata zile anazotengenezea Singida ni bora kuliko zetu.
Anazindua jezi hana. Hivi kwani huyu jamaa anakurupushwaga? Simba imefuzu makundi tangu Nov inamaama jamaa hakujua Feb atatakiwa kuwa na jezi? Very poor! Kila siku we unazindua jezi na huna jezi angalau ingetokea mara moja tu but always hana jezi na hapo tar 15 zitakuja pc 2000 tu kama last time atauzia duka moja tu la sinza anaona raha sana watu wakijazana pale anachukua video kupost aonekane ana base kubwa ya wateja (chukua video siku za kawaida ambazo huna jesy au sale tuone hiyo nyomi).
Designer hana anakurupuka tu na marangi rangi yasiyoeleweka, aisee am tired of him. Na bado kuna wapuuzi wanacoment jesy kali iv ukiwa shabik ndo unapaswa uwe mpumbavu? Hupaswi hata kutumia akili yako hata kdg? Na kwenye uzi huu utayaona mambumbumbu yanacoment jesy kali [emoji23][emoji23].
Jifunze kutumia akili shabiki wa Simba mwenzangu, acha ujinga.
Hili la safari hii haliwezi kumuacha Salama. Safari iliyopita alionewa huruma kwa kisingizio cha kubadilisha mdhamini kifuani. Safari hii anazindua jezi dukani hazipo. Timu inacheza mechi ya kwanza tarehe 11 jezi dukani zitafika tarehe 15!!Ameshatoa sababu za kutoweka logo ya Mo? Huyu jamaa yangu atakula hasara kwa sababu ya kukurupuka.
Mbona HIMARS, The Boss , na MoseKing wanasema kuwa MeTl udhamini wake unaishia tu ndani na sio kimataifa.Hili la safari hii haliwezi kumuacha Salama. Safari iliyopita alionewa huruma kwa kisingizio cha kubadilisha mdhamini kifuani. Safari hii anazindua jezi dukani hazipo. Timu inacheza mechi ya kwanza tarehe 11 jezi dukani zitafika tarehe 15!!
Sasa kweli unanunua T-shirt ya elfu 10 halafu unategemea iwe bora?Mimi kifupi hata nguo kwenye maduka yake sitaki hata kuzisikia,niliwahi kununua Tshirt moja,kwa muonekano niliiona kali sana for only 10,000,baada ya kuifua tu mara moja ikapauka vibaya na kulegea....
Hiyo low quality ipi??? na ulinunua wapi?? nina jezi zote tatu za Simba m- bet na zina quality nzuri tuu. au wewe ni Utopolo
Ukiangalia hizo sura za wachezaji mpaka wamekosa kujiamini kiukweli mzigo mbaya