Vunjabei apata hasara ya 350M kutokana na jezi za Simba

Huu ni udhihirisho kuwa hawa wafanya baishara wachanga, ambao wamepata pesa kwa njia za mibahatisho, huwa hawana subira inapokuja kwenye suala la kuendeleza biashara zao na zabuni mbalimbali walizopata na wanazo tarajia kupata! Kulikuwa na uharaka gani wa huyu mzabuni kuchapisha/kutengeneza jezi mpya kabla ya kuafikiana na mtoa zabuni wake? Nadhani huu ni uharaka usio kuwa wa lazima. Hiyo hasara ibebe tu, kwani kama ungelikuwa na oda thabiti kutoka kwa mzabuni wako na yeye ghafla akabadili nembo, basi hiyo hasara ingekuwa kwa mzabuni siyo mkanadarasi - wewe! Let us learn to be patient guys when it comes to dealing with our fellows!
 
Hapa naona miscommunication kati ya taasisi mbili hizi
Why miscommunication? Why? Mbaya au nzuri zaidi ni kwamba wote wako hapa Mzizima. Je mmoja angekuwa Beijing na mwingine hapa Mzizizma si ndiyo ingekuwa balaa zaidi! Wafanya biashara wadogo au wachanga wapunguze papara when it comes to handling time - sensitive orders!
 
yani suala la jezi inaonesha namna gani hii CLUB haipo serious na hili jamboo sio tu linaaribu image ya uongozi ila inaonesha hii club imeshamilikiwa na watu flani specificall BABRA anafanya anachojisikiaaa
 
Very embarrassing -
 
Muongo huyo kahonga hela mpaka kapitiliza na anajigamba anaona kuhonga ndo ujanja.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…