Vunjabei apata hasara ya 350M kutokana na jezi za Simba

Vunjabei apata hasara ya 350M kutokana na jezi za Simba

Mzabuni wa jezi za klabu ya Simba Fred Ngajiro 'Vunjabei, amevunja ukimya na kufichua kuwa amepata hasara ya Dola 150,000 (zaidi ya Sh349 milioni).

Hasara hiyo imetokana na kubadilisha mfumo wa jezi za awali kufuatia kubadilishwa kwa mdhamini kutoka SportPesa na kuwa M-Bet. https://t.co/BZyTXc5Ux3
Janja janja tu huyo hamna kitu hapo.
 
Huu ni uongo wa wazi kabisa.
Yeye kama mzabuni hakulijua hili kabla ya kuendelea kazi ya pili?
Aseme amepoteza faida ya sh.kadhaa zaidi kutokana na zoezi hilo na si kwamba amepata hasara.
Mzabuni atalijua vipi wakati mkataba wameingia Mbet na Simba,bila Vunjabei kuambiwa.

Kubalini tu hapa kulikuwa hamna mawasiliano kati ya Simba na Vunjabei na wakulaimiwa alikuwa ni Simba kwani alichelewa kumwambia Vunjabei juu ya mdhamini mpya,ili nae aweze kuprint jezi zenye nembo ya mdhamini mpya.
 
Mwaka huu vunjabei ndo ametoa jersey za ovyo na aliprint mapema ...Baada ya kuaminiwa mara ya mwanza akawa na haraka ya kuleta maronya .Mungu si athumani!! Ishu ikabuma
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimecheka sana
 
MAJEZI MABAYA, house girl wangu alikua anavaa, tumeanza kudekia
acha fix, mbona Mayele bado anavaa kiatu chake cha Dhahabu cha ufugaji bora wa Ligi kuu alichokipata mwaka jana.

1660822960936.png
 
Back
Top Bottom