Vunjabei apata hasara ya 350M kutokana na jezi za Simba

Hasara ilikuwa haikwepeki! Maana zoezi zima la kumpata mdhamini mpya wa klabu lilifanyika katika mazingira ya usiri mkubwa, lakini pia ndani ya muda mfupi!

Pole yake kwa kweli.
 
Why miscommunication? Why? Mbaya au nzuri zaidi ni kwamba wote wako hapa Mzizima. Je mmoja angekuwa Beijing na mwingine hapa Mzizizma si ndiyo ingekuwa balaa zaidi! Wafanya biashara wadogo au wachanga wapunguze papara when it comes to handling time - sensitive orders!
Kuna maswali mengi ya kujiuliza
1. Vunjabei alitengeneza jezi bila kuwahusisha wateja wake?
2. Simba walikua hawana mpango wa kuachana na Sportpesa, mkataba wa Mbet umekuja ghafla?
3.Vunjabei haku manufacture jezi za sample kwanza ili Simba wakazipitishe wampe go ahead?
 
yani suala la jezi inaonesha namna gani hii CLUB haipo serious na hili jamboo sio tu linaaribu image ya uongozi ila inaonesha hii club imeshamilikiwa na watu flani specificall BABRA anafanya anachojisikiaaa
Aliongea manara watu wakamuona mjing!! Yaani kwa kweli hat Mimi yule mwanamke simkubali mno
 
Kuna maswali mengi ya kujiuliza
1. Vunjabei alitengeneza jezi bila kuwahusisha wateja wake?
2. Simba walikua hawana mpango wa kuachana na Sportpesa, mkataba wa Mbet umekuja ghafla?
3.Vunjabei haku manufacture jezi za sample kwanza ili Simba wakazipitishe wampe go ahead?
Mwaka huu vunjabei ndo ametoa jersey za ovyo na aliprint mapema ...Baada ya kuaminiwa mara ya mwanza akawa na haraka ya kuleta maronya .Mungu si athumani!! Ishu ikabuma
 
Kuna maswali mengi ya kujiuliza
1. Vunjabei alitengeneza jezi bila kuwahusisha wateja wake?
2. Simba walikua hawana mpango wa kuachana na Sportpesa, mkataba wa Mbet umekuja ghafla?
3.Vunjabei haku manufacture jezi za sample kwanza ili Simba wakazipitishe wampe go ahead?
NOMA sana hapa naonaa vunja alitoa pesa kupata tenda alafu akatengenezaa malonyaaaa
 
Very good questions.
 
NOMA sana hapa naonaa vunja alitoa pesa kupata tenda alafu akatengenezaa malonyaaaa
Mfanyabiashara huyo alisema, mkataba mpya ulipokuja alikuwa ameshadizaini jezi za mdhamini wa awali, hivyo kumtia hasara ya kiasi hicho cha fedha za kuweka mdhamini mpya.
 
“Simba waliponipigia simu kuniambia juu ya kusitisha uzalishaji wa jezi kutokana na mkataba mpya basi ikanibidi na mimi nipige simu zoezi lisitishwe jambo ambalo limefanya jezi zichelewe,” alisema Vunjabei na kuongeza;
“Mkataba na mdhamini wa sasa ulikuwa mzuri na ndio maana tuliamua kutulia ili kuzungumza na kuweka mambo sawa kwa kuwa zile ni pesa za wanasimba, kitendo cha kukurupuka kisa mkataba una pesa ndefu halafu mkaharibu sio sawa.”
Vunjabei alisema athari ya kuchelewa kwa jezi ni kitendo cha wanasimba kukwazika lakini hakuwa na namna aliona ni bora kuchelewa kuvaa jezi halafu mkataba ukawa mzuri.
 
Nakumbuka Huu mkataba Uliingiwa Kwa Mbwembwe Sana. [emoji3][emoji3]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Why miscommunication? Why? Mbaya au nzuri zaidi ni kwamba wote wako hapa Mzizima. Je mmoja angekuwa Beijing na mwingine hapa Mzizizma si ndiyo ingekuwa balaa zaidi! Wafanya biashara wadogo au wachanga wapunguze papara when it comes to handling time - sensitive orders!
Hata hivyo, hakuna Biashara isiyoKuwa na hasara. Hiyo hasara ni ndogo sana ukilinganisha na faida atakayovuna ujue.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Huu ni uongo wa wazi kabisa.
Yeye kama mzabuni hakulijua hili kabla ya kuendelea kazi ya pili?
Aseme amepoteza faida ya sh.kadhaa zaidi kutokana na zoezi hilo na si kwamba amepata hasara.
 
Yule popoma alikuja huku akaleta habari za jezi kukwama bandarini kwasababu Vunjabei alitaka kukwepa kodi.
 
Kuna maswali mengi ya kujiuliza
1. Vunjabei alitengeneza jezi bila kuwahusisha wateja wake?
2. Simba walikua hawana mpango wa kuachana na Sportpesa, mkataba wa Mbet umekuja ghafla?
3.Vunjabei haku manufacture jezi za sample kwanza ili Simba wakazipitishe wampe go ahead?
Haya maswali yakipata majibu tunafunga mjadala.
 
Kuna maswali mengi ya kujiuliza
1. Vunjabei alitengeneza jezi bila kuwahusisha wateja wake?
2. Simba walikua hawana mpango wa kuachana na Sportpesa, mkataba wa Mbet umekuja ghafla?
3.Vunjabei haku manufacture jezi za sample kwanza ili Simba wakazipitishe wampe go ahead?
Maswali haya yakipata majibu na Kama majibu ni NDIO basi vunja bei hakupaswa kupata hasara yenye. Club ndio ilipaswa kupata hiyo loss

Back
Top Bottom