ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Aisee hizi habari mnazitoa wapiHili jamaa Ni jinga San Kuna sehem niliona anasem alizomesha bint mmoja had phd na Bado mwanmke akasalitiwaa tu mpuuz sana
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Janja janja tu huyo hamna kitu hapo.Mzabuni wa jezi za klabu ya Simba Fred Ngajiro 'Vunjabei, amevunja ukimya na kufichua kuwa amepata hasara ya Dola 150,000 (zaidi ya Sh349 milioni).
Hasara hiyo imetokana na kubadilisha mfumo wa jezi za awali kufuatia kubadilishwa kwa mdhamini kutoka SportPesa na kuwa M-Bet. https://t.co/BZyTXc5Ux3
Mzabuni atalijua vipi wakati mkataba wameingia Mbet na Simba,bila Vunjabei kuambiwa.Huu ni uongo wa wazi kabisa.
Yeye kama mzabuni hakulijua hili kabla ya kuendelea kazi ya pili?
Aseme amepoteza faida ya sh.kadhaa zaidi kutokana na zoezi hilo na si kwamba amepata hasara.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nimecheka sanaMwaka huu vunjabei ndo ametoa jersey za ovyo na aliprint mapema ...Baada ya kuaminiwa mara ya mwanza akawa na haraka ya kuleta maronya .Mungu si athumani!! Ishu ikabuma
Cheap falsafa!Muongo huyo kahonga hela mpaka kapitiliza na anajigamba anaona kuhonga ndo ujanja.
View attachment 2324431
acha fix, mbona Mayele bado anavaa kiatu chake cha Dhahabu cha ufugaji bora wa Ligi kuu alichokipata mwaka jana.MAJEZI MABAYA, house girl wangu alikua anavaa, tumeanza kudekia