Vurugu kali zimezuka Uwanja wa CCM Kirumba wakati Simba SC ikifanya mazoezi kuelekea mechi ya Ligi na Pamba Jiji

Tuwakumbushe timu ya Singida ilivamia mazoezi ya Yanga lakini Yanga hawakua na hofu na waliweza kuwa Kanda Singida.
Ukiwa na timu imara uwanjani hubabaishwi na vitu vidogovidogo.
Kweli kabisa, wala huwezi funika cctv camera na plasta maana huna unachohofia, yeyote aje awe kitayose au ice cream we leta tu.
 
Hizo fujo zimeratibiwa na Simba ili mechi iahirishwe maana wachezaji ndio wametoka break hawako fiti. TFF msiingie mtegoni.
Kalumekenge hujui Simba ndio waliomba mechi isiahorishwe na ichezwe ikiwa sehemu ya mazoezi yao.
Acha kusoma gazeti la Uhuru
 
Reactions: Tui
Hizo fujo zimeratibiwa na Simba ili mechi iahirishwe maana wachezaji ndio wametoka break hawako fiti. TFF msiingie mtegoni.
Mechi haikuwapo kwenye ratiba, ilisogezwa mbele. Simba ndio waliiomba TFF wairudishe leo
 
Reactions: Tui
Tuwakumbushe timu ya Singida ilivamia mazoezi ya Yanga lakini Yanga hawakua na hofu na waliweza kuwa Kanda Singida.
Ukiwa na timu imara uwanjani hubabaishwi na vitu vidogovidogo.
Wala huwezi kujidunga
 
Reactions: Tui
Mambo ya simba na pamba anahusishwa yanga! Kwani yanga ndo aliyemtuma matola na rweyemamu waende na matunguri uwanjani?

Pamba wanajiokoa wao wenyewe na ulozi wenu makolo mnaanza kutafuta visingizio
 
Hizo vurugu kali mbona hazionekani sasa kwenye hii video clip uliyoruwekea hapa! Au kuna video clip nyingine umeisahau?

Nadhani Wabongo wakati mwingine tuache kupenda kudeka na pia kukuza mambo.
 
Tuwakumbushe timu ya Singida ilivamia mazoezi ya Yanga lakini Yanga hawakua na hofu na waliweza kuwa Kanda Singida.
Ukiwa na timu imara uwanjani hubabaishwi na vitu vidogovidogo.
We topolo tuwalete walima asali
 
Simba na yanga acheni utoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…