Vurugu kali zimezuka Uwanja wa CCM Kirumba wakati Simba SC ikifanya mazoezi kuelekea mechi ya Ligi na Pamba Jiji

Vurugu kali zimezuka Uwanja wa CCM Kirumba wakati Simba SC ikifanya mazoezi kuelekea mechi ya Ligi na Pamba Jiji

Nimesoma mahali
 

Attachments

  • IMG-20241121-WA0017.jpg
    IMG-20241121-WA0017.jpg
    103.7 KB · Views: 3
  • IMG-20241121-WA0017.jpg
    IMG-20241121-WA0017.jpg
    103.7 KB · Views: 3
A
Vurugu zimetokea wakati Simba SC ikifanya mazoezi yake ya mwisho kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza Kuelekea Mchezo wa Kesho wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Pamba Fc dhidi ya Simba SC.

Wakati vurugu hizo zikiendelea zimepelekea mazoezi kushindwa kuendelea.

Soma Pia: Ahmed Ally awahofia Pamba Jiji, awaita Wanasimba CCM Kirumba. "Hakuna cha uzalendo mbele ya Simba, achana na Pamba. Tukipoteza kuna watu watanufaika"
cheni uzushi na visingizio.
Mechi mliomba wenyewe bila kuwa weledi!
Kesho wachezaji wenu wakiumizwa mtasingizia wametumwa na mwananchi. Kenge nyiye
 
Ukiweza kuwazuia wasifanye vitu vyao uwanjani wakati wa mazoezi, siku ya Mechi watawahi Sana kabla ya mechi na ukiweza kuwazuia mtu yoyote asi kanyage uwanja wa kuchezea mpaka muda wa timu kufanya warm-up basi umemaliza kazi.

Jamaa wasipo mwaga vitu vyao ni wepesi kuliko mabua.
 
Tuwakumbushe timu ya Singida ilivamia mazoezi ya Yanga lakini Yanga hawakua na hofu na waliweza kuwa Kanda Singida.
Ukiwa na timu imara uwanjani hubabaishwi na vitu vidogovidogo.
 
Kuna mishabiki ya Simba inapenda kujipendekeza kwa rais pia tuna viongozi wanajinasibu wanasimba waziri mkuu, spika na naibu wake, waziri wa michezo na naibu wake lakini hawana msaada wowote kwa simba
 
Back
Top Bottom