Mohammed Khatibu
JF-Expert Member
- Jun 28, 2018
- 1,170
- 1,617
Uzi bado unahitaji updates..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inachezwa lini hiyo mechi? Na muda waliotoka kucheza national team upoje. ?Haraka kwasababu ya mechi ya shirikisho
wewe ni kuku kweli! simba ndie aliomba mechi ichezwe then aratibu vurugu ili iahirishwe! tumia hiyo akili yako ndogo uliyopewa kuwaza properlyHizo fujo zimeratibiwa na Simba ili mechi iahirishwe maana wachezaji ndio wametoka break hawako fiti. TFF msiingie mtegoni.
Matusi ya nini kijana au hukufuzwa dabu kwenu? Jibu hoja kwa kuleta hoja mbadala 😀😀😀😀wewe ni kuku kweli! simba ndie aliomba mechi ichezwe then aratibu vurugu ili iahirishwe! tumia hiyo akili yako ndogo uliyopewa kuwaza properly
vp mnyama alishawahi kukukojolea ?Lakini si kawaida kwa mnyama kukojoa popote maana hajui choo wala kanuni za afya
😂Siasa za uchaguzi 😀
Tar26Inachezwa lini hiyo mechi? Na muda waliotoka kucheza national team upoje. ?
Timu ipiHii timu ulozi hautawafikisha popote
Vurugu zimetokea wakati Simba SC ikifanya mazoezi yake ya mwisho kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza Kuelekea Mchezo wa Kesho wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Pamba Fc dhidi ya Simba SC.
Wakati vurugu hizo zikiendelea zimepelekea mazoezi kushindwa kuendelea.
Soma Pia: Ahmed Ally awahofia Pamba Jiji, awaita Wanasimba CCM Kirumba. "Hakuna cha uzalendo mbele ya Simba, achana na Pamba. Tukipoteza kuna watu watanufaika"
cheni uzushi na visingizio.Vurugu zimetokea wakati Simba SC ikifanya mazoezi yake ya mwisho kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza Kuelekea Mchezo wa Kesho wa Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Pamba Fc dhidi ya Simba SC.
Wakati vurugu hizo zikiendelea zimepelekea mazoezi kushindwa kuendelea.
Soma Pia: Ahmed Ally awahofia Pamba Jiji, awaita Wanasimba CCM Kirumba. "Hakuna cha uzalendo mbele ya Simba, achana na Pamba. Tukipoteza kuna watu watanufaika"
Jaribu kuficha ujinga wako!Hizo fujo zimeratibiwa na Simba ili mechi iahirishwe maana wachezaji ndio wametoka break hawako fiti. TFF msiingie mtegoni.