Vurugu Katika Chaguzi za Wenyeviti wa Mamlaka za Miji

Vurugu Katika Chaguzi za Wenyeviti wa Mamlaka za Miji

jnuswe

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
1,270
Reaction score
549
Kwa kutambua kuwa humu kuna watu wanaojua sharia hizi vizuri, naomba maelekezo mazuri , sharia namba 45 ya mamlaka za miji inaelezea juu ya wajumbe wa baraza kuwa ni wenyeviti waliochagulia, wenyeviti wa viti maalum, madiwani wanaoteuliwa na mbunge

Swali ; wakati wa uchaguzi wa mweyeti wa baraza je hao wote wanaruhusiwa kupiga kura ? kwa yule anayefahamu naomba ufafanuzi
 
Hebu soma vizuri hiyo Sharia #45 uliyo-quote; inasemaje kuhusiana na swali lako?
 
Back
Top Bottom