Kwa kutambua kuwa humu kuna watu wanaojua sharia hizi vizuri, naomba maelekezo mazuri , sharia namba 45 ya mamlaka za miji inaelezea juu ya wajumbe wa baraza kuwa ni wenyeviti waliochagulia, wenyeviti wa viti maalum, madiwani wanaoteuliwa na mbunge
Swali ; wakati wa uchaguzi wa mweyeti wa baraza je hao wote wanaruhusiwa kupiga kura ? kwa yule anayefahamu naomba ufafanuzi
Swali ; wakati wa uchaguzi wa mweyeti wa baraza je hao wote wanaruhusiwa kupiga kura ? kwa yule anayefahamu naomba ufafanuzi