Walid Shoebat ni Mpalestina aliyekuwa gaidi chini ya PLO-Palestine. Baada ya kujua ukweli aliacha ugaidi wake na kusimamia ukweli upande wa Israel. Mwarabu huyu ktk mahojiano yaliyofanya 2008 alielezea Uislamu kuwa si tu kuwa dini hatari bali pia kuwa uislamu ni mfumo wa kisiasa ulio hatari hata kupita Nazism na ukomunist.
Vita yao (Jihad) inachagizwa na mafundisho ya Mtume Mohammad kuwa Waislamu wanatakiwa kuendesha Jihad dhidi ya jamii isiyo muabudu Allah, hadi jamii hizo zisilimu kuwa Waislamu. Vita hiyo iko na sura mbili 1. Vita ya kiuchumi, yaani kuharibu mifumo na miundombinu inayojenga uchumi na 2. Vita ya kisiasa inayolenga kutumia propaganda za ku brainwash jamii ili waunge mkono agenda za kiislamu.
Mfano mzuri wa vita ya kiuchumi ilikuwa USA Twins Tower attack on 9/11. akaendelea kusema upande wa vita vya kisiasa ni mpango wa ku brainwash wahadhiri na wanafunzi wa vyuo vikuu vya USA ambapo petrol dollar imetumika kuwanunua wahadhiri na viongozi wa vyuo vikuu ili kupenyeza agenda za uislamu kwenye mitaala na maisha ya wanafunzi. Aidha, petrol dollar hiyo imetumika kutoa scholarships nyingi kwa vijana wa Kiislamu na kuanzisha vyama vya wanafunzi vya Kiislamu ndani ya vyuo.
Bw. Walid alionya kuwa dunia ikitaka kuushinda ugaidi wa kiislam inapaswa kuushughulikia kama ilivyoshughulika na Ma Nazi wa Hitler ama sivyo itegemee civil wars ndani ya USA na nchi za magharibi.
Leo hii 2025 Dunia inashuhudia ukweli wa yale aliyoyasema miaka 16 iliyopita.