Vurugu Kenya italetwa na mtu wa 3, na siyo Wakenya!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817
Muzungu ndo ataleta fujio Kenya, ila wenyewe hawajamtambua adui yao namba 1, wanafikiri adui yao ni Ukikuyu na Ujaluo, la hasha, adui yenu nambo Moja ni yule aliyewatuma Somalia, ni yule aliyeweka Military base nchini Kenya kubwa Barani Afrika, huyo ndiye anayewagombanisha lkn kwa kuwa ni wajinga na hamuelewi mtaendelea kuchukiana na kuleteana Ujaluo na Ukikuyu wkt wote ni watu wamoja, ...
 
Hapana,adui yao no.1 ni ukabila na wala usimsingizie mzungu!Pindi watakapogundua kuwa wao ni taifa moja na hawana haja ya kubaguana kikabila,hapo watakuwa wameushinda ukabali.Mzungu hata hawachochee vipi kama hawana nia ya kupigana wakitambua kuwa wao ni wamoja.Ila wanapoanza kwa kampeni za kikabila,radio station za kabila flani kumpigia kampeni mgombea flani wa kabila ilo,vijana kuhamasishwa kwamba kabila flani limetawala nchi toka wapate uhuru ni zamu ya kabila lingine,huo ndo ukabila na ambao mpaka sasaiv tunaona unashika kasi kama moto wa kifuu.

Cha muhimu wagundue kuwa uchaguzi utapita na watu watabaki na maisha yao.Wenye ngeu watakuwa na ngeu ila wachochezi(WANASIASA) watakuwa ng'ambo na familia zao wakila maisha.

Niwaombe tu ndugu zetu Wakenya,tujali utu zaidi ya ukabila,udini au chuki yeyote ile inayopandikizwa na wanaasiasa.Nyinyi ni jirani zetu and we wish to see the best from you guys.You are a brother country to the EAC.So you should lead by exmple.

God Bless Kenya.
 
Uhuru na Rutto always wanaingia madarakan kw akumwaga damu!

ICC ilikuwa inawahusu kabisa. , hawa watu ni blood thirsty
 
Hapana,adui yao no.1 ni ukabila na wala usimsingizie mzungu!Pindi watakapogundua kuwa wao ni taifa moja na hawana haja ya kubaguana kikabila,hapo watakuwa wameushinda ukabali.Mzungu hata hawachochee vipi kama hawana nia ya kupigana wakitambua kuwa wao ni wamoja.Ila wanapoanza kwa kampeni za kikabila,radio station za kabila flani kumpigia kampeni mgombea flani wa kabila ilo,vijana kuhamasishwa kwamba kabila flani limetawala nchi toka wapate uhuru ni zamu ya kabila lingine,huo ndo ukabila na ambao mpaka sasaiv tunaona unashika kasi kama moto wa kifuu.

Cha muhimu wagundue kuwa uchaguzi utapita na watu watabaki na maisha yao.Wenye ngeu watakuwa na ngeu ila wachochezi(WANASIASA) watakuwa ng'ambo na familia zao wakila maisha.

Niwaombe tu ndugu zetu Wakenya,tujali utu zaidi ya ukabila,udini au chuki yeyote ile inayopandikizwa na wanaasiasa.Nyinyi ni jirani zetu and we wish to see the best from you guys.You are a brother country to the EAC.So you should lead by exmple.

God Bless Kenya.

Hii iko deep sana kuielewa, hata huo unaouita Ukabia wao ni Muzungu ndo kauleta na ndiyo anaouchochea!
 
Kuna watu ni wajinger sana. Wao huwaota wazungu hata kwa upumbavuh wao wenyewe. We mwach mkeo anazurura watu wamle uje useme ni mzungu.... Ukitawaliwa na chuki hata akili haifanyi kazi
 
Kwani Muzungu ni babako?
 
Dr Slaa akisoma post yako atakudharau sana.
 
Hata tukijikwaa ni mzungu
 
Wacha unafiki viashiria vya vurugu vishaanza kuletwa na watu wa Central Kenya to be specific Wakikuyu wakisaidiwa na Serikali ya Jubilee. Wakina Kuria wameuwa mtu wa ICT IEBC hours baada ya ku-confess live at Citizen TV, election management system kuzimwa kum-favor Uhuru 2013.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama josephine upo?ulipotea sana shemeji yetu. Umekaa na dr slaa mumeo mpaka unajua nini kinamkwaza na nini kinamfurahisha? Wewe mkewe tu wa ubani ndo unamjulia. Mi akinidharau haina shida. Shida akikudharau wewe kipenzi chake...

Dr Slaa akisoma post yako atakudharau sana.
 
Akikupa mimba mzungu mmoja akakuachia ujauzito siyo ndo unawachukia wote.... Na kila kitu chao.... Maana hata wanaume wa kiswahili nao mbona wengi tu wanakana mimba zao? Acha chuki dada...huo ndo ulofa wa miafrika mingi inachukia wenye uwezo na kuishia kuwa michawi tu na roho mbaya. Pambana na hali yako. Lea mtoto songa mbele.

Kwani Muzungu ni babako?
 
Back
Top Bottom