Hapana,adui yao no.1 ni ukabila na wala usimsingizie mzungu!Pindi watakapogundua kuwa wao ni taifa moja na hawana haja ya kubaguana kikabila,hapo watakuwa wameushinda ukabali.Mzungu hata hawachochee vipi kama hawana nia ya kupigana wakitambua kuwa wao ni wamoja.Ila wanapoanza kwa kampeni za kikabila,radio station za kabila flani kumpigia kampeni mgombea flani wa kabila ilo,vijana kuhamasishwa kwamba kabila flani limetawala nchi toka wapate uhuru ni zamu ya kabila lingine,huo ndo ukabila na ambao mpaka sasaiv tunaona unashika kasi kama moto wa kifuu.
Cha muhimu wagundue kuwa uchaguzi utapita na watu watabaki na maisha yao.Wenye ngeu watakuwa na ngeu ila wachochezi(WANASIASA) watakuwa ng'ambo na familia zao wakila maisha.
Niwaombe tu ndugu zetu Wakenya,tujali utu zaidi ya ukabila,udini au chuki yeyote ile inayopandikizwa na wanaasiasa.Nyinyi ni jirani zetu and we wish to see the best from you guys.You are a brother country to the EAC.So you should lead by exmple.
God Bless Kenya.
Uhuru na Rutto always wanaingia madarakan kw akumwaga damu!
ICC ilikuwa inawahusu kabisa. , hawa watu ni blood thirsty
Dr Slaa akisoma post yako atakudharau sana.Kuna watu ni wajinger sana. Wao huwaota wazungu hata kwa upumbavuh wao wenyewe. We mwach mkeo anazurura watu wamle uje useme ni mzungu.... Ukitawaliwa na chuki hata akili haifanyi kazi
Ila siku hizi nasikia kuna mchochezi mwingine kaibuka nchi ya jiraniHii iko deep sana kuielewa, hata huo unaouita Ukabia wao ni Muzungu ndo kauleta na ndiyo anaouchochea!
Nani Mkuu. ..??? au Dada Mange kasema. ....hahahah plzzy hide my IDIla siku hizi nasikia kuna mchochezi mwingine kaibuka nchi ya jirani
Hata tukijikwaa ni mzunguKuna watu ni wajinger sana. Wao huwaota wazungu hata kwa upumbavuh wao wenyewe. We mwach mkeo anazurura watu wamle uje useme ni mzungu.... Ukitawaliwa na chuki hata akili haifanyi kazi
Dr Slaa akisoma post yako atakudharau sana.
Kwani Muzungu ni babako?
Kwahiyo hata wewe umekomment kwenye ujinga?Hii mada ni ujinga uliopitiliza.