mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Wote mangombe tuNaungana na maafisa wa mwendokasi. Ikiwezekana wadeploy mgambo vituoni asubuhi na jioni hadi pale abiria watakapokuwa wastaarabu.
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wote mangombe tuNaungana na maafisa wa mwendokasi. Ikiwezekana wadeploy mgambo vituoni asubuhi na jioni hadi pale abiria watakapokuwa wastaarabu.
me nimehamia mkoa wa pwani kuna afadhali darisalamu naendaga kutembea tuu!Huko daslama mnaishi kwa tabu sana. Poleni.
Just imagine huyo dereva angeumia angeendesha gari!? Kwa nini dereva ajihusishe na kazi y walinzi!? Ina maana hayajui majukumu yake!? Ni wazi anatakiwa afukuzwe kazi mara moja.Si jambo sahihi kwa mtoa huduma kufanya alichofanya, huwez pgan na mteja wako , hao wanapasw kuw fired kbsa especial derevaa aliingilia majukumu ya mlinz