Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Spika wa bunge la Kenya amelazimika kuliahirisha binge baada ya kutokea mabishano makali yaliyopelekea wabunge wa upinzani kurusha makaratasi. Hayo yametokea wakati wa kujadili jina la mteule wa kushika nafasi ya waziri wa mambo ya ndani. Nafasi iliyoachwa wazi baada ya kujiuzulu kwa Joseph Ole Lenku
kaka sio jina ni amendment bill ya security ilikuwa inajadiliwa katika third reading kikao cha gazi ya commitee!!!
Naitafuta hiyo amendment bill ya security yote niione but from what i saw kwa KTN kuna baadhi ya vifungu (correct me if m wrong) vinapingana na constitution ya kenya ambayo ndo sheria mama.. Vinawapa nguvu polisi na nadhani hiyo sio kitu kizuri hata kidogo..