jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
CDM Mabeberu wanawatia kiburi, muda ni Mwalimu mzuri sana,watapata wanacho kutafuta!!Acha utoto, mnaleta vurugu ili iweje? Mbona Cuf,Act wazalendo na Nccr Mageuzi hawana vurugu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CDM Mabeberu wanawatia kiburi, muda ni Mwalimu mzuri sana,watapata wanacho kutafuta!!Acha utoto, mnaleta vurugu ili iweje? Mbona Cuf,Act wazalendo na Nccr Mageuzi hawana vurugu.
Wwe uko na stress za Maisha, pambana na Hali yako ndg!!Toa upumbavu wako hapa.
Sasa ndiyo fanyeni siasa za kisitarabu Kama wenzenu ili tuwapime Kama mnauwezo wa kuendesha Serekali!!Ni nyinyi mliosema Chadema imekufa, mara baadaye issue ya kufa imeisha mkahamia kwamba hawawezi kupigiwa kura na wananchi.
Sasa hivi imekuwa vurugu 'zitakosesha kura', utakosaje kitu ambacho huna??!
Hivi mkijisoma hata wenyewe huwa mnajielewa kweli?
Msema kweli wahenga walisema ni mpenzi wa Mungu. Chadema imekuwa na kasumba mbaya sana ya kuendesha siasa. Imekuwa na tabia ya kuendekeza vurugu na na hili sio jambo jema.
Ikumbukwe kuwa watanzania ni watu wastaarabu na watu waliozoea amani. Na misingi hii ya kuishi kwa ustarabu na amani ndio imelifikisha hapa hili taifa letu. Ndio maana tunashuhudia nchi ikipata maendeleo.
Kabla ya Dk Slaa kuondoka Chadema kwa kweli hiki chama kilikuwa na misingi mizuri sana ya kufanya shughuli za siasa. Hata alipokuwa akitoa hotuba zake mara nyingi umma uliokuwa ukimsikiliza ulikuwa ukipata jazba na mihemuko, lakini alikuwa akiwatuliza.
Maana hizo zilikuwa ni nyakati ambazo watanzania walikuwa wanapandwa na jazba kiasi cha kutaka kuponda mawe magari ya serikali pale walipo kuwa wakisikia jinsi nchi yao ilivyokuwa inaibiwa. Lakini mara kwa mara Dk Slaa alikuwa akiwatuliza na kuendelea kumwaga sera za chama na kuiumbua CCM iliyokuwa imeteleza kidogo na kuharibu nchi.
Ameobdoka Dk Slaa CHADEMA imekuwa chama cha kihuni na wapenda vurugu. Kampeni zao zimekuwa za kulalama tu na kutukana viongozi. Kampeni zao zimekuwa za kufukuza na kuwafanyia vurugu waandishi wa habari. Na hili hawajaanza mwaka huu.
Hata mwaka 2015 walimfanyia vurugu aliyekuwa nguli wa habari Marin Hassaan (RIP) wa TBC. Mwaka huu wamerudia yale yale tena kwa makusudi bila sababu za msingi.
Mwenyekiti wa CHADEMA bila aibu anajitetea kwa kuigiza eti alikuwa driven na umati? Mbona akina Dk Slaa walikuwa hawawi driven na umati? Pamoja na kuwa kipindi hicho watu walikuwa na hasira na mihemuko ya hali ya juu! Ukweli ni kuwa CHADEMA ni chama ambacho kimekuwa na asili ya vurugu na viashiria vya kuchafua amani ya nchi yetu.
Na kwa mantiki hii adhabu wanayostahili ni kupigwa kwenye box la kura hata diwani mmoja wasipate. Maana dalili ya mvua ni mawingu na huko mbele watatuharibia nchi yetu.
Kwahiyo hao ndio watapa kura nyingi?Acha utoto, mnaleta vurugu ili iweje? Mbona Cuf,Act wazalendo na Nccr Mageuzi hawana vurugu.
Hawa jamaa ni majinga sana,hayana hoja yanabaki kubwabwaja hapa jukwaani!Asubuhi namna hii unaandika utopolo??
Ccm wanaofanya kampeni kwenye majimbo bila kufuata ratiba ya Tume hawafanyi fujo.Acha utoto, mnaleta vurugu ili iweje? Mbona Cuf,Act wazalendo na Nccr Mageuzi hawana vurugu.
Ni ujinga tu mkuu. Halafu bahati mbaya unaongelewa na mtu ambaye yeye mwenyewe hana hakika ya kesho yake.ninaumizwa sana na watu hasa mtz kutokuwa wakweli. nipe mfano tu wa tangu kampeni hizi kuanza ni wapi vurugu zimetokea na ikwa prooved kwamba ni hao uliowasema ndio wamesababisha vurugu. achana na tukio la kule kusini
Imefanyika wapi huko?Ccm wanaofanya kampeni kwenye majimbo bila kufuata ratiba ya Tume hawafanyi fujo.
Mchango wako wa nini sasa? Si bora ungechangia nauli za Lissu aende Mbeya.Thread kama hii huwa nasoma na kupita tu, kuchangia naona ni kupoteza muda, ila kwa leo mchango wangu ndio huo.
Mh...!Ni ujinga tu mkuu. Halafu bahati mbaya unaongelewa na mtu ambaye yeye mwenyewe hana hakika ya kesho yake.
Kwa hiyo unadhani kuwafurusha Tbc namna ile ni ustaarabu? Wangepopolewa mawe?ninaumizwa sana na watu hasa mtz kutokuwa wakweli. nipe mfano tu wa tangu kampeni hizi kuanza ni wapi vurugu zimetokea na ikwa prooved kwamba ni hao uliowasema ndio wamesababisha vurugu. achana na tukio la kule kusini
Na hiki ndio kinawafanya wakose kura na kumalizika kisiasa kabisa.CDM utawajuwa tu kwa kauli zao za ugonvi ugonvi!! Tumia lugha ya stara kidogo CDM weeeeee!!
Kwani kampiga nani?Anachokifanya siro Pemba ni ustaarabu?
Kisitarabu[emoji777]Sasa ndiyo fanyeni siasa za kisitarabu Kama wenzenu ili tuwapime Kama mnauwezo wa kuendesha Serekali!!